Home NEWS Zoea Mawe Lyrics – Ringtone Ft Azziad Nasenya

Zoea Mawe Lyrics – Ringtone Ft Azziad Nasenya

0
Zoea Mawe Lyrics

Zoea Mawe Lyrics by Ringtone and Azziad Nasenya

Intro Chorus

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Verse One

Ni wengi watakuchukia
Bila sababu we eeh
Wengi watakuonea
Bila makosa we hee

Mambo mengi watasema
Ya kukuvunja moyo
Ni kawaida kuonewa wivu
Wewe si wa kwanza

Ikisha kumulika
Hiyo Tochi ya Mungu
Mawe mingi utapigwa
Ju ya kazi ya Mungu

Sasa wewe usife moyo
Ju ya mambo ya watu
Mawe mingi utapigwa
Ju ya kazi ya Mungu

Chorus

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Verse Two

Yesu alikuwa na dhambi gani
Walipo msulubisha
Mate wakamtemea
Matusi wakamfokea

Mkuki wakamdunga
Viboko wakamchapa
Miba wakamvisha
Jamani bila makosa

Ikisha kumulika
Hiyo Tochi ya Mungu
Mawe mingi utapigwa
Ju ya kazi ya Mungu

Sasa wewe usife moyo
Ju ya mambo ya watu
Mawe mingi utapigwa
Ju ya kazi ya Mungu

ALSO, SING TO, Willy Paul – Tik Tok Lyrics

Chorus

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Verse Three

Namtambua aaah
Namtambua aaah
Huyu Mungu
Mimi namtambua

Namtambua sana
Namtambua aaah
Huyu Mungu
Mimi namtambua

Chorus

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Zoea Kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda
Zoea kupigwa mawe

Namtambua aaah
Namtambua aaah
Huyu Mungu
Mimi namtambua

Zoea Mawe Lyrics by Ringtone and Azziad Nasenya

Download Mp3 Audio Here

Leave a Reply