Home NEWS Zimenishika Lyrics – Zzero Sufuri – Song 2019

Zimenishika Lyrics – Zzero Sufuri – Song 2019

0
Zimenishika Lyrics

Zimenishika Lyrics – Zzero Sufuri – Download Mp3 Audio

Zimenishika zimenishika, zimenishika yooh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh
Eeeh, kiko kwa kichwa
Kimejificha si ni kimbichwa yoh

Si ni kienyewe
Kiko kwa kichwa kimejificha yoh
Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa
Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha
Juu ni kimbichwa(Sikia Zzero)

Washa ki(Sssh sssh) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (Sssh sssh) hadi kwa brain
Nikitam niki(Sssh sssh), saa ya rain
Niki ki(Sssh sssh)

Verse One

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Eeeh
Kiko kwa kichwa kimejificha
Si ni kimbichwa yoh
Si ni kienyewe kiko kwa kwa kichwa
Kimejificha yoh

Kiko kwa kichwa
Kimejificha si ni kimbichwa
Si ni kienyewe
Kiko kwa kichwa kimejificha
Juu ni kimbichwa eeh

Washa ki(Sssh sssh) ndio kiende chain
Nikivute kiingie (Sssh sssh) hadi kwa brain
Nikitam niki(Sssh sssh), saa ya rain
Niki ki(Sssh sssh) eeh hadi kwa vein

Ati
Washa ki(Sssh sssh) ndio kiende chain
Nikivute kiingie(Sssh sssh) hadi kwa brain
Nikitam niki(Sssh sssh), saa ya rain
Niki ki(Sssh sssh) eeh hadi kwa vein

Ju naifanya mara mingi nikohoe(Sssh sssh)
Kwa kifua(Sssh sssh)
Mi hukivuta(Sssh sssh)
Na mamorio wangu wote
Si wanapenda kuzi(Sssh)
Kutoka ngware hadi usiku
Si hushindaga tuki(Sssh)

Tukilandi(Sssh sssh)
Nishawasha kingine(Sssh)
Kwanza peddy si ako inadi
Zinafaa tuziende(‘Sssh)
Zikikam(Sssh sssh)
Tuzivute(Sssh sssh)
Zote zote ka(Sssh sssh)
Zote zote ka(Sssh sssh)

Chorus

Cheki
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Verse Two

Si uki kohoa kohoa
Hiyo ni dalili ya kunyongwa
Pitisha morio
Utaitisha ni kubwa sana
Ivisha macho zikuwe red
Macho nyanya na
Usiseme ukweli
Ukiulizwa unasema hapana

Ati niki(Sssh sssh)
Umevuta na unasema hapana
Maybe pengine, kwani morio mnajuana
Si kuna watu huwaga jo mnaweza kosana
Imekubalika we ki(Sssh sssh) bado mchana

Ati
Ki kush kipass kwanza kitam kia ras
Ka umezoea choma utaskia niko kwa France
Unajua uko smart chini umedunga ma clarks
Unaeza vaa pams, toka mbio ruka bumps

Chorus

Ati
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Eeeh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Mahali imefika
Zimenishika zimenishika yoh
Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
Niki(Sssh sssh), kimenishika yoh

Yeah, yeah(Yeah yeah)
Ni zzero, kama sos me ndio soss
Mi ndio boss, mi ndio world boss
Eeeh cheki
Bigup MeGaLink productions
Dagoretti, number 2 tuko ndani

Zimenishika Lyrics Credit – Zzero Sufuri

ALSO, SING TO – Mare Mare Lyrics – Matata Ft Lamaz Span K.O.B

Leave a Reply