Home NEWS Zima Puliza Lyrics – Jabidii – New Song Jan 2020

Zima Puliza Lyrics – Jabidii – New Song Jan 2020

0
Zima Puliza Lyrics
Zima Puliza Lyrics

Zima Puliza Lyrics – Jabidii

Intro

Zima any other fire coz the one we bring
Is hotter than hotter red fire
Zima moto wa uchawi
Coz this one eeh ata devil anagwaya
Moto wa fegi moto wa bangi
Moto wa dhambi Moto wa shisha haiwezi
Zima zima na uzime kabisa

Verse One

Man am free coz your sip and cross
Deni Jesus alizilipa zote
Ati laana za uko na babu wa babu wa babu yako anazivunja
Mali magari majumba za kifahari
The Bible says seeking skin dont trust na mengine utaongezewa

Nimesota niko chini nikatumiwa fare na lunch
Na ikamezwa na fuliza
Usoto kama hii na maswara ndogo ndogo
Ndizo vitu mi napuliza

Si kawaida ni miujiza
Za Jesus zimeshinda za giza
You pray fi ur big cabbo
Someone somewhere anapray tu one day akule pizza

When it doesn’t please God
It doesn’t abide by di word
Nasema zima kama ni bad
Weka energy ya bodyguard

Chorus

Zima any other fire coz the one we bring
Is hotter than hotter red fire
Zima moto wa uchawi
Coz this one eeh ata devil anagwaya
Moto wa fegi moto wa bangi
Moto wa dhambi Moto wa shisha haiwezi
Zima zima na uzime kabisa

Zima Puliza Lyrics Verse Two

Puliza watu wa punyeto
Wasafishe rada wasipoteze Generation
Puliza mapolitician wawache corruption
Wasimalize our nation

Ukipata budaa anatuma mtoto fegi
What do you do
Boy amejisunda anawatch kingwati
Man what do you do

Tunaifanya vile tulikuwa tunafanya
Vumbi ikidrop kwa mitambo
Tunaifanya vile tulikuwa tunatoa
Dudu kwa macho kitambo

When it doesn’t please God
It doesn’t abide by di word
Nasema zima kama ni bad
Weka energy ya bodyguard

Chorus

Zima any other fire coz the one we bring
Is hotter than hotter red fire
Zima moto wa uchawi
Coz this one eeh ata devil anagwaya
Moto wa fegi moto wa bangi
Moto wa dhambi Moto wa shisha haiwezi
Zima zima na uzime kabisa

Zima Puliza Lyrics Verse Three

Man am free coz your sip and cross
Deni Jesus alizilipa zote
Ati laana za uko na babu wa babu wa babu yako anazivunja
Mali magari majumba za kifahari
The Bible says seeking skin dont trust na mengine utaongezewa

Credit: Jabidii

ALSO, SING TO Kosi Lyrics – Guardian Angel – New Song Jan 2020

Previous articleKosi Lyrics – Guardian Angel – New Song Jan 2020
Next articleBoondocks Gang Biography, Members, Career, Songs