Zarika Lyrics – King Kaka – mp3 audio download
Verse One
Tamu Sana
Usichoke,
Key ya mwisho ndio hufungua redo
Wacha nishike sixteens ka kipedo
Bado, I’m so so fresh
Table naenvy na dubli wa so so deaf
Times, I was so so stressed
Now, ha, I’m so so blessed
Remember you only win or you learn
Hakuna sijui ooh ooh niliblunder
You make your bed basi lala kwa kitanda
Ka new era haikutoshei buda geuza ngepa
No handed me nani nilijilet
Sai na razorblade ka Gillete
Chorus
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches
Verse Two
From counting ideas sai nahesabu mapesa
Na friendship si kuhesabu favors
Kumbuka life si IG itadai insights
Hizi lines si orbituary, dont die inside
I have mouths to feed na naraise ka baby
Kuna nights nilikuwa sleepy ka Davy
Na kumbe, wananipendaga this much
The only time wanarap kunishinda labda Christmas
Niko juu sana but a few hours to the people
I’m strong now coz I started weak
Na tour euro na na tour Memphis ka fleek
Sio lazima nibonge presence yangu inaspeak
Chorus
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches, Punches
Kama Zarika
Naipea Punches
Zarika Lyrics Credit – King Kaka
ALSO, SING TO – Nairobi Lyrics – Magix Enga – New Song 2020