Home NEWS Yumba Lyrics – Darassa Ft Harmonize – New Song

Yumba Lyrics – Darassa Ft Harmonize – New Song

0
Yumba Lyrics

Yumba Lyrics – Darassa Ft Harmonize

Intro Verse

Yumba eeh
Yumba yaani Darassa na KondeBoy
(255 Champion boy, Classic)
Yumba, Yumba
Aga nikiwind my beiby
Jipinde pinde kama kama nyoka
Pinda mgongo unibebe
Nisije nikadondoka (Ooh nah nah nah nah)

Yumba Lyrics Verse One

Njiani napita pita samahani sister
Macho kama unaniiita yamekolea shisha
Mwaga mapicha picha yasambae Insta
Yaani kesho kukicha jana kama vita
Suruali pale viatu kule
Usilale lale kaa mkao tule

Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
Ukiwa na King agiza tu utaletewa
Ukiwa queen kwenye joto utapepewa
Jiongeze jiongeze nishanogewa
Napenda kuyumba yumba nishalewa

Chorus

Nasema baby apo kati, baby apo kati
Ata mabubu wanatoaga sauti
Baby apo kati, baby apo kati
Hata jambazi sugu linapigaga saluti

I say Stop!
Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
Akiwa karibu unamkumbatia(Yumba Yumba)
Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba)
Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba)
Oooh nah nah nah nah

Verse Two

Funga funga mishikaki
Funga no paki Rhumba takitaki
Dole gumba hapi
Yumba juu, nyumba chini, yumba katikati
Yumba yumba mwili kama umelegea nati
Samahani namba unayopiga haipatikani

Kama umepoteza uliza Google watakupa ramani
Kama una chuki ota mbawa upae angani
Au pasua ardhi uingie ukae ndani
Bado nawagongea gongo
Nakomalia mchongo, nawashushia vigongo
Umevalia usongo, wa mangoma msondo, eeeh eeh uongo

Anajua Mungu mwenye mbingu ardhi na udongo
Mzee kasema sesema
Gosha mperampera
Nambeba Sanchoka
Na nyuma kafunga tela

Chorus

Nasema baby apo kati, baby apo kati
Ata mabubu wanatoaga sauti
Baby apo kati, baby apo kati
Hata jambazi sugu linapigaga saluti

I say Stop!
Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
Akiwa karibu unamkumbatia(Yumba Yumba)
Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba)
Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba)
And I say(Yumba)
Oooh nah nah nah nah

Yumba Lyrics Verse Three

Oooh amechanganya kushi na nyagi
Kalewa wamembeba (Anatokaje?)
Alijifanya mjuaji kumbe mimba haikwepi leba (Aaah itakuwaje?)
Ata giza giza mama totoro
Nisha agiza agiza chumba godoro
Nitaingiza ngiza  mpaka tomorrow
I say Stop!
Twende taratibu kama unasinzia(Yumba )

ALSO, SING TO Anajishaua Lyrics – DanZak – New Hit Song