Home NEWS Yes Bana Freestyle Lyrics – Breeder LW – New Song 2020

Yes Bana Freestyle Lyrics – Breeder LW – New Song 2020

0
Yes Bana Freestyle Lyrics

Yes Bana Freestyle Lyrics – Breeder LW.  DOWNLOAD MP3 AUDIO

Bazenga husonganga ki Donga
Ka hufiki bei si important
Maganji mkononi ka donda
Saa hii bila mimi hio ngoma haita zoza

Beat ni ya Omollo, inagonga
Sling ni ya Goro, Unatokwa
Bado nawa washa, kidonda
Ukishindwa kuwinda subiri mzoga

Ma drama,machocha vioja
Ndio zimefanya Kenya kuna locust
Ata Rap siku hizi joh ni bogus
Ju flow ni hatari kwa pori umesota

Ikikuja Rap me ni Kobra
Mamita nasaka sitachoka
Me hubuy ndulla Gikomba
Ndechu ,brandy na ata haijaoshwa

Ukitry test ni makosa
Pongi ka inatupa imeoza
Breeder uliacha Kuroga?
Ala!!Fuck You!!

Me bado ni kobra
Sura ndio imejaa kwa ma poster
Leta vodo yangu bila Chaser
Shingo iko icy ka glacier
Drip hadi plumber anateta

Msupa alikuchocha ako kesha
Guess ako na nani kwa keja
We unapiga simu iko mteja
Bazenga dadii, Naipepeta pepeta

Kunipata hadharani blunder
Ganji kwanza, ndio nicheki idhaa nikipanda
Ziki nyanya, Pepea ka silver surfer
Nili apa, Heri nidedi niki tafutaa

Niki taka, naeza diss kila rapper
Swiftly after, nika sip gin na tusker
Piga starter, medi na steam ya jaba
Tiki taka, ligi biggy hii ni Barca

Eazi sana, eazi kama gugu gaga
Taka taka, tusi wao me ni Ng’ang’a
Haha haha, me huwacheka wao hubamaba
Ni ma learner, wanataka kubishana

Soma kwanza, pata degree na masters
Nini sasa huwezi tema hizi stanza
Mbuzi hapa, me nasaka greener pastures
Chunga sana, utapata scar na fracture

Kunipata bila beret, no Bana,
Verse zangu zote genje, yes Bana
Man a giant on the low, no Burna
Man a, man a giant on the low, no Burna

Last year, nilikua nimeparara
Nikifika bash na Sahara
Siku hizi step nimeng’ara
Ma diva,ma cougar ma slay wanaholla

Sijai dishi dondo nikahara
KFC Chicken Inn, hio apana
Warazi wanabaki na mapara
Waititu juzi amegeuziwa Janta

Bazenga dadi jina biggie kwa hii mziki
Na city to city nasambaza TK ka injili
Nikihisi inatabidi nafika na mbogi na siringi
Ntafika kwa Guiness ntavunja rekodi ka kijiti

Baraka ndio mingi hapa hakuna hizo ma irisi
My nigga we winning,enough with the gimmicks, I mean it
The minute, I’m in it, I’ma be a menace, I mean it
Fuck a critic, mean while I be paid for each lyric

Yes Bana Freestyle Lyrics Credit – Breeder LW

ALSO, SING TO – Yes Bana Lyrics – Khaligraph Jones Ft Bien – New Song 2020