Home NEWS Wote Wazuri Lyrics Brown Mauzo Ft Timmy TDAT

Wote Wazuri Lyrics Brown Mauzo Ft Timmy TDAT

0
Wote Wazuri Lyrics
Wote Wazuri Lyrics

Wote Wazuri Lyrics Brown Mauzo Ft Timmy Tdat. 

Prrrrr,,, Ti ti ti Tdat, Ni Mauzo tukiwa na Brown

Bad Boy na Vicky Pon Dis, Tdat

Heey mr lover man, Kasabun

 

Niliona nyeupe nikataaka

Ilipopita nyeusi pia nikafaata ????

Uuh na mwenye shepu nilidata

Na kale kamchele shingo panga

 

Wanishika, wanishika hapo

Wanishika, wanishika hapo

Wanishika, wanishika hapo

Wote nikiwaona roho yangu yanienda mbio

 

Wanishika, wanishika hapo

Wanishika, wanishika hapo

Wanishika, wanishika hapo

Tamaa ikizidi popote kichinjio

 

Kuna wagunye wasomali wenye nywele za singa

Wazuri wa kusmile wenye lips???? za Pink

Raha unapewa mpaka unaeka Tick

Draft umecheza umefika King ????

 

Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri

Haa murder, murder, murder

Wananimurder, wote wazuri

Murder, murder, murder

Wananimurder

 

Verse Two

Sin hunibamba so naipiga bila chesa

Nadia yuko poa ye najuwa tutatesana

Naenda roho Timmy ka you know Vanessa

Aki ye huniita known kama message za mpesa

 

Sitapenda choche ananitake fiti

Napenda yule busy pia hunilayia fiti

Na vile wamejaa hii ni gal Dem city

Nataka tu wasavage nyi ndo kitu you see

 

Kuhusu my ex, okay juzi amenitext

Okay si hubonga less tukipatana Ni s…x

Yule Bank kwake nina interest

Ndio  maana time yangu kwake ninai invest

 

Ule ameokoka ye huniombea ????

Nikiwa mbali ni me anaekea

Ule wa uber si me ananiletea ????

Kuwa na dame mmoja si Ni unfair ????

 

Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri

Haa murder, murder, murder

Wananimurder, wote wazuri

Murder, murder, murder

Wananimurder

 

Verse Three

Tipo tipo kibonge

Mtamu kama uji wa matoke

Ama utoke na kafupi kakonde

Kepesi kukabeba wala huchoki

 

Tipo tipo kibonge

Mtamu kama uji wa matoke

Ama utoke na kafupi kakonde

Kepesi kukabeba wala huchoki

 

Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri

Haa murder, murder, murder

Wananimurder, wote wazuri

Murder, murder, murder

Wananimurder, wote wazuri

 

Nyakalaga Lyrics Japesa Ft Khaligraph Jones

Wote Wazuri Lyrics Brown Mauzo Ft Timmy Tdat – Download Mp3 Audio

Leave a Reply