Why Lyrics – Ben Pol Ft Harmonize
Why Lyrics Verse One – Ben Pol
Ndugu zangu napata malipo ya usaliti
Ya kupendwa lakini nikawa sipendeki
Sikujua machungu makali kiasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyo mi sitakii Owaaaii
Umenifanya nawaza
Wangapi niliowasanga
Kila nikikumbuka
Najiona mshamba
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili haya
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili haya
Chorus
Why why why why why Oooooooh  Why why why why why Oooooooh
Why why why why why Oooooooh  Why why why why why Oooooooh
Silali silali silali fofofo
Silali silali silali fofofo
Why Lyrics Verse Two – Harmonize
Konde Boy
Ona hayaniishi mawazoo aaah
Ningezi najirudia aaah
Penzi lake ndo chanzo aah
Mmmmh
Malipo ni duniani
Ahera kuhesabiwa
Mi nipo bado rihani
Nimejitia la mwana mkiwa ee
Mmh zile heshima kaninyenyekea
Nikamwona si chochote kwangu
Eti mazima nikampotezea
Livo maliza tu shida zangu
Mkimwona mwaambieni
Najiuguza najutia
Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi yasio na hatia
Yananisulubu maajonzi
Upweke najiinamia
Nimeshatubu nisamehe
Chorus
Why why why why why Oooooooh  Why why why why why Oooooooh
Why why why why why Oooooooh  Why why why why why Oooooooh
Silali silali silali fofofo
Silali silali silali fofofo
Ona hayaniishi mawazoo aaah
Penzi lake ndo chanzo aaah
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili haya
Credit: Ben Pol and Harmonize
ALSO, SING TO: Unaniona Lyrics – K2ga – New Song January 2020