Wenge Lyrics – Jay Melody
Vile moyo unaputa
Najionea sana huruma
Nakaa chini nalia
Najiangalia sijitamani
Chini nimechimba
Natafuta mzizi ooh
Najitafutia dawa
Usinga kwa hirizi oh
Najiita mjinga
Jay acha utoto
Najiona mjinga
Wenge kimtindo
Ata tusiwe wapenzi
Mama ujue naumia
Umeondoa mchu mama
Mama ngazi inaachia
Wenge Lyrics – Jay Melody
Leo naenjoy upendo
Mi nachezewa hisia
Penzi langu mama
Natamani irudi zamani
Haa beiby ayaya
Oooh beiby oooh
Inachuma ayaya
Nakosa amani oooh
Haa beiby ayaya
Inaniuma oooh
Najioneaga tu mabalaa ayaya
Aah hunnie oooh(Oooh mapenzi)
Wenge Lyrics – Jay Melody
Si mapenzi majani
Ila penzi lako ngumu kung’oka
Huwa ninalia sana nikikumbuka tulipotoka
Ningepata mwandani ila penzi lako linanyoosha
Usinifanyie mimi hivi, jua vibaya
Nitoe kwa ubaya, sweety
Mapenzi ndio haya
Na basi unisamehe mwaya
Mama mapenzi ndio haya
Ata tusiwe wapenzi
Mama ujue naumia
Umeondoa mchu mama
Mama ngazi inaachia
Leo naenjoy upendo
Mi nachezewa hisia
Penzi langu mama
Natamani irudi zamani
Haa beiby ayaya
Oooh beiby oooh
Inachuma ayaya
Nakosa amani oooh
Haa beiby ayaya
Inaniuma oooh
Najioneaga tu mabalaa ayaya
Aah hunnie oooh(Oooh mapenzi)
ALSO, SING TO Tekenya Lyrics – Lava Lava
Credit: JAY MELODY