Wema Lyrics By Willy Paul and Gloria Muliro.
Verse One
Oooh woooh
Mungu wangu ni mkuu
Oooh woooh
Pozeeee
Nyota yangu imeng’aa
Asante mola
Mambo yamebadilika
Asante mola
Sio kwa nguvu zangu mi
Ni kwa nguvu zako wewe tu
Ingekua ni mwanadamu
Angenionea
Ingekua ni mwanadamu
Angenionea
Ulivyo nibariki na wenzangu pia uwabariki
Ulivyonionekania na wenzangu pia uwaonekanie
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Ukiahidi unatenda unatenda ulivynitendea
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako
Maishani mwangu
We ni mwema
Wema Lyrics Verse Two
Nimetua mizigo kwako nimepumzika
Nimeitua msalabani nimepumzika
Kwako nimetulia mie
Umenifurahisha
Kuna amani sikupata kwingi ila kwako
Kuna wema kuna favour
Ndani yako
Mungu wangu msaada wangu ni wee
Mungu wangu ujasiri wangu ni wee
Munguwangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Ukiahidi unatenda unatenda ulivyonitendea
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako
Maishani mwangu
We ni mwema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Verse Three
Sikuwahi jua kijana wa mathare wa salome
Ange heshimika
Mungu wangu ni fire fire
Amenipa maisha bomba yani fire fire
Nimetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa
Nmetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa
Niruhusu nikwite kichuna ulichuna shida zangu
Niruhusu nikwite mpenzi ulinipa mapenzi
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Ukiahidi unatenda unatenda ulivynitendea
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako
Maishani mwangu
We ni mwema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Wema Lyrics Verse Four
Nakumbuka mi nikiwa houseboy
Ulisema tuliza my boy
Ata kama hizi mashida zilini follow
Back to back mungu wangu nlikuamini
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Because
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Wema Lyrics By Willy Paul and Gloria Muliro – Download Wema Mp3 Audio