Home NEWS We Shall Overcome Lyrics – Stivo Simple Boy

We Shall Overcome Lyrics – Stivo Simple Boy

0
We Shall Overcome Lyrics

We Shall Overcome Lyrics by Stivo Simple Boy Ft Byzzo The Baddest, Vaal

Tumaini yote yatapita
Usiku gizani, mchana itafika
We shall overcome
Ndio maanake
We will overcome

Kuna matumaini yote yatapita
Usiku gizani, mchana itafika
We shall overcome
We will overcome

Vaal

And all we going through
Jipe moyo
Tough times become at night
Joy comes in the morning

Shikilia tu
Jikaze wewe
Utasonga juu
Mungu yupo nawe

Byzzo The Baddest

Najua hali ni ngumu si siri sitakataa
Leo kuna giza kesho kutawaka taa
Shida zote ni ka candle zipe time zitakwisha
Form ni kuwa strong manze acha kuhuzunika

Baada ya dhiki faraja, pamoja tutavuka daraja
It’s just a matter of time si siri siku njema inakuja
Kweli we ni wa maana tena wewe ni wa power
At the end of the tunnel manze tutaona mwangaza

Chorus

Tumaini yote yatapita
Usiku gizani, mchana itafika
We shall overcome
We will overcome

Stivo Simple Boy

Hardtimes define a real soldier
Si ni mashujaa na bado tuko kimoja
Usikufe moyo mashida zinapotusonga
Changamoto kibao lakini bado twasonga

So don’t worry hii vita tutashinda
Maisha ni safari ni kupanda na kushuka
After every tears kuna hope tabasamu
Mipango za Mungu usilinganishe mwanadamu

Chorus

Tumaini yote yatapita
Usiku gizani, mchana itafika
We shall overcome
We will overcome

Kuna matumaini yote yatapita
Usiku gizani, mchana itafika
We shall overcome  We will overcome

We Shall Overcome Lyrics by Stivo Simple Boy – Download Mp3 Audio

ALSO, SING TO – Quarantei Lyrics – Ethic Entertainment

Leave a Reply