Wanga Lyrics – Meja Kunta Ft Lava Lava – Download MP3 Audio
Verse One
Oooh oooh ooh
Wanga wabaya Ooh oooh
Wabaya Ooh oooh wabaya
Ooh oooh wabaya
Aaah… wabaya hao
(Wanga wabaya)
Kweli wabaya
(Wanga wabaya)
Ukiwa nacho
Watakuroga wanga
Ukiwa huna
Watakuroga wanga
Ukipata pesa
Watazusha unadanga
Utabaki mwenyewe
Umejichanga
Wanga wabaya
(Kweli wabaya)
Wanga wabaya
Verse Two
Hata mimi yalinikuta
Nikasingiziwa nimekufa
Mama yangu alilia sana
Oooh huruma mama
Wanga wabaya
(Kweli wabaya)
Wanga wabaya
Mbona wana mambo meusi
Nikiposti picha wanacomment matusi
Nikikonda tu una virusi
Wana roho za kenge mixer mijusi
Wanga wabaya
(Kweli wabaya)
Wanga wabaya
Labda na mimi nifanye kipi kizuri waja
Niwe rafiki wa kila mja
Iwe furaha inishinde husta
Haya yapite mengine yaja
Wanga wabaya
(Kweli wabaya)
Wanga wabaya
Verse Three
Unanitaka kwio
Una hela kwio
Eti una dola kwio
Nenda ukalale kwio
Kwio kwio
Kwiyoyo kwema kwio
Wewe acha wee
Piga kelele kwa kwio wake wewe
Basi container muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
Basi sina muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
We muda wa kudanga(Danga)
Nitafutie madanga(Danga)
Anavyokatika mi mwenzenu naona jao
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anavyokatika mi mwenzenu naona jao
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anakata
(Kimbao mbao)
Anakati
(Kimbao mbao)
Anakata
(Kimbao mbao)
Anakati
(Kimbao mbao)
Anakata
(Kimbao mbao)
Anakati
(Kimbao mbao)
Anakata
(Kimbao mbao)
Anakati
(Kimbao mbao)
Verse Four
Basi ndinda na bingwa wa kudanga
Hata kwako huna
We bingwa wa kudanga hata kwako huna
Dada unaringa una chula kumbe la kichina
Unaringa una chula kumbe la kichina
Na tifua tifua tetema(We tetema)
We tetema (We tetema)
Basi na twende tetema(We tetema)
Basi kidogo tetema(We tetema)
Na tifua tifua tetema(We tetema)
Twende kuku kishingo,
we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Wahuni kuku kishingo, we kishingo
Wanga Lyrics Credit – Meja Kunta and Lava Lava
ALSO, SING TO – Ukiniacha Lyrics – Maarifa Ft Barnaba – New Song 2020