Wanawake Lyrics – Best Naso – New Song 2019
Wanawake Lyrics Verse One
Leo nimeamka
Asubuhi mapema
Niko nafua fua
Mimi ndo baba na mama
Nalea wanangu na nimeshazoea
Mara napokea simu ya mpenzi
Ni miaka sita alinikimbia
Akaulizia watoto
Asihofu ni wazima
Kuhusu kuishi bila
Mama walishazoeaga
Eeeh na hata ukitaka leo
Kuwasalimia fika utawakuta
Oooh ooh ooh
You are my beautiful
Nakukumbuka bado
Na huyu mtoto mdogo kaitwa Anita
Kafanana nawe saana
Kabla simu kukata
Kuna neno akaongea
Likanipa utata
Akasema Hello my dear
Nikamjibu ndio
Mi nawe tuna watoto
Nikamjibu ndio
Kati ya hao watoto
Nikamjibu ndio
Juwa mmoja si wako
Nguvu zikaniishia
Nikashindwa kumuuliza
Ni yupi
Ghafla mdomo ukawa mzito
Kimya
Ni kawa kama meona kifo
Kimya
Eeeh mola wangu wapi ulipo
Ninusuru mwenye siwe siwezi siwezi naogopa
Chorus
Ooh oooh ooo
Wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh ooo
Wanawake wabaya
Tena wanaua
Ooh oooh ooo
Wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh ooo
Wanawake wabaya
Tena wanaua
Wanawake Lyrics Verse Two
Mbona mapenzi ina Unyama
Io io mama
Mbona mapenzi ina Unyama
Io io mama
Nikakata simu nikawaza
Nimtafute nimkate mapanga
Nikakumbuka kwenye dunia
Hiyo mitihani ya maulana
Ndio maana kuna usiku kuna mchana
Sijamaliza mara simu ikaita tena
Nikapokea akaanza kwa kucheka
Akasema acha ubishi
Acha kung’ang’ania
Na baba mwenye mtoto
Yuko njiani anaingia
Dakika kumi nyingi
Naiona gari imebeba
Watu watano
Watatu ni maaskari
Nikawekwa telo telo
Nikaambiwa nimeiba mtoto
Nimewekwa cello uuuh
Natumikia kifungo mateso
Chorus
Ooh oooh ooo
Wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh ooo
Wanawake wabaya
Tena wanaua
Ooh oooh ooo
Wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh ooo
Wanawake wabaya
Tena wanaua
Mbona mapenzi ina Unyama
Io io mama
Mbona mapenzi ina Unyama
Io io mama
ALSO, SING TO Safina Lyrics – Stamina Ft Barnaba