Home NEWS Wamlambez Lyrics – Sailors Gang – Song 2019

Wamlambez Lyrics – Sailors Gang – Song 2019

0
Wamlambez Lyrics

Wamlambez Lyrics – Sailors Gang – Download Mp3 Audio

Wamlambez wamnyonyez
Wamlambez wamnyonyez
Wamlole… eeeehh

Miracle baby me huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem me hupin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Aki home nashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Zikishika ninadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boloyeng (Mmmh ha boloyeng)
Anajua me huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)

Wamlambez wamnyonyez
Wamlambez wamnyonyez
Wamlolee… eeeehh

Hii ni ya madem wenye wanapenda chuma
Maboy fiti wanapendaga kulima
Dem akipita ‘mmmh hmm’ wanaguruma
Akijipa wanapiga bila huruma
Miracle baby zimenice nachachisha
Nashika jaba juu doh zimejaa bahasha
Tuko na Ruth siz ya Caro na Natasha
Zikirunda wanaanza kutetemesha

Wamlambez wamnyonyez
Wamlambez wamnyonyez
Wamlolee…eeeehh

Shalkido anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)

Usiworry nimefintika
Kulikuwa na kajam fulani but tumekapita
Pewa tot ziku-nice twende dancing floor
Na juukaduka umefunga nipe thutha yoh
Kising’aing’a toka chini hiki kyangu kimesee
Nipe sita mbili mbili wamnyonyez nikupee
Ukibleki naanza kukuguza unafurahi
Nakudema dema nikushike ufeel ukiwa high
Shalkido kwenye mike nazitema kwenye floor
Ikiwabamba mnipe nduru niwashow nikiflow
Niwashow nikiflow
Niwashow nikiflow

Wamlambez wamnyonyez
Wamlambez wamnyonyez
Wamlolee…eeeehh

Masilver ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)

Diang’ara, diang’ara, diang’ara
Si ni wale wadiang’ara (Ate?)
Diang’ara, diang’ara,diang’ara
Si ni wale wadiang’ara
Your gang shaghala baghala
Ukipeep nakutoa kafara
Masilver me huhit wamlambez
Masilver me huhit wamnyonyez
Ukianika naanua wamlambe
Ukianika naanua wamnyonye
Masilver!

Ukianika naanua wamnyonye

Wamlambez wamnyonyez
Wamlambez wamnyonyez
Wamlolee…eeeehh

Lexxy Yung ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Ka ni dem anaspin na mayeng (mmh ha na mayeng)
Ka ki-home anashikisha na mayeng (Mmmh ha na mayeng)
Zikishika anadrive na mayeng (mmh ha na mayeng)
Ka huamini enda uulize boroyeng (Mmmh ha na boroyeng)
Anajua ye huspin na mayeng (Mmmh ha na mayeng)

Okey,you know me Am this kid on a bigger vision On a bigger mission Chapa
gym, kata weight Pewa liquour no more wait Cheers to the faith
Am too hot nikimfake
Wamelamba lolo, nikawasha kolo
Nikatema lolo, wakabaki solo
Nimepiga kuni, ikapiga nduru
Ninakemba Henny, wanakemba nduru
Macho ziko rada, nigga ni wasoro
Nimecheki rada, wote ni mavako
Ah siko vako, tumetetemesha wote wakatema
Twanga twanga hadi ikalia, hadi ikatema
Buda amezima ndani ya kisima

I can hit so dry You can call me mr ride Down and up,
I can pick it up Baby drop,
pick them off
Wanna see you on your birth suit You know you’re sweet
Like the way your mama cook
Keep your hands to yourself
Never dare touch my siz Nigga I can pop you off
Nigga I can pop you off

Hahaha timemaraks…

Wamlambez Lyrics Credit – Sailors Gang

ALSO, SING TO – Queen B Machine Lyrics – Sailors Gang – Song 2019