Home NEWS Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics – Teardrops Poet

Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics – Teardrops Poet

0
Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics

Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics – Teardrops Poet

Verse One

Shots fired
Wacha tupump sense
Kwa hawa mashort wire
Hatuogopi kuface the music
Si ndio choir masters wa hii choir
Sa usiwahi gwaya
Wacha niichukulie penye King aliachia

Kwa hii nchi yenye kuwa masikini ni hatia
Truth ni bado hatujawahi pata uhuru
Sorry kusema sio kila tourist hukuja kenya
Kuona Diani ama Samburu
Wengine hukuja kuona Kibira na Mukuru
Zile white collar waliahidi bado ziko
But kwa shingo ya kunguru

The rich also cry but so far
Ni Sonko mmoja nimesikia akipiga nduru
Starehe tuko na Jaguar moja tu
Na ni kama hainanga taa
But si huiona mara moja tu time ya election

Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics Verse Two 

Wamama wajawazito ndio wanakuwa
First priority kupiga kura
But hao ndio wanadedi kwa maternity
Due to lack of facility
Ambia KANU hatuhitaji jogoo
Tumeupgradi si ni kama kuku ya grade

Madem wa campus wanadedi
RIP Sharon na RIP Mercy Keino
Apart from ule governor wa Migori
Kuna mwingine anatu owe bado
Cartoons zikianza kumake sense
Kuna vile hii nation owe gado

Tulipata new currency
But change haiko bado
Ama Kenya iko blessed na corruption
Ju ten percent huwa inaenda kwa kanisa
Na badala pastor kusema rudisha mahali umetoa
Anasema zidisha mahali imetoka

Sadaka ya prostitute na mwizi
Zikimix kwa kikapu
Pastor huwa hamind nani ametoa ngapi
Wala imetoka wapi
Kanisa ziko na fence
Sababu wanaogopa watu wataiba imani
Ama wataiba hii money

Verse Three

Mapastor wenye wanataka magari
Ni kama wako juu ya maombitho
Mbona unataka harambee na si maombi though
Political rallies zimejaa coz wengi ni wafuasi
Ama sababu wengi wako jobless

God of all creation iko kwa national anthem
Kama wengine wetu tunaishi kama children
Of a loser God Wajinga Nyinyi
Munachoma nyama na makahaba
Na familia nyumbani wanakula ugali na jaba

Tulipigania independence ndio tunyakue mashamba zetu
Kwa wakoloni only kuja kuzilose kwa hawa Ma land grabber
Tumebaki tu na holy spirit hatutrust kamwana na baba
Vijana tuliinvent kugota ju tulikuwa hatutrust handshakes
Now that hiyo ngumi imeinuliwa kwa sky
Washaanza kufeel the earthquake

A minute of silence, sirence
Politician akinyamaza ameshiba
Akiongea amenyimwa
Vitu za free haifai hoteli zina free wi-fi
Na si free food, uko online kwa hoteli
Unashare picha za watu wana njaa
Badala ya kushare chakula mjinga wewe

Wajinga Nyinyi Part 2 Lyrics Verse Four

Tuko na njaa mngetulea kwanza
Sababu hatuwezi shiba na thoughts and prayer
Zile mbegu tulipanda kanisani tungepanda Turkana
Zingelisha wengine pengine
You see, nyuma ya noti ya soo mbili
Kuna watu wanaharvest cotton
Na bado nation inaimport mitumba

Wacha nianze nikiquote Patrice Lumumba
Tuko kwa nchi yenye wako na power hawana idea
Wenye wako na idea hawana power
You see, ningetaka kusugar cot vitu basi
Ningeanza kufanya biashara ya kaimati

Serikali ikasema kwenye umeiba tumeshaform kamati
Shida ni hakuna mwenye hufikishwa kamiti
But hatuachilii mpaka tufike tamati
Watoto hawana playing field na stadiums
Zenye ziko, ziko kwa manifesto
The next kipchoge anakimbilia kwa trademill probably

We’ve been in the dark for too long
Token za KPLC zihukuja kama Yese
After three days ndio upate the light tuko sawa
Wakulima waliuproot miti za kahawa wakapanda mahogany
Ndio atleast wakidedi na njaa wakuwe wamebenefit macoffin maker
Na sio macoffee maker

Verse Five

Ulisema security begins with you, No
Security doesn’t begin with you it begins with S
What begins with U ni ufisadi ubinafsi ukabila
Uwizi wa mali ya umma Upuzi Ujinga Uporaji Uongo
If you are what you eat then how comes sijawahi
Come across polisi anaitwa mlungula ama hongo

Ni accident ama ni traffic police
Ndio hukufanya we kufunga mshipi
Mi deni yangu yote ilishapoa on the cross
So hiyo ya China mi silipi
Barabara zikiwa na mashimo complains
Zinakam na watu wako na gari personal

Mtoto akienda shule nursery imejaa mashimo
Inakuwa ni issue ya mzazi personal
Si mtoto alisare shule sababu hakuwa anaweza afford sare ya shule
Akaamua kuwa mwizi alafu mnasema ni sababu ye kutoenda shule
Mkaamua kumrudisha shule when its too late
Mkiexpect akuwe measy shule
Akaend up kuwa mwizi ule

Simba si Baboon usiexpect kuirushia ndizi ikule
Si kila mwaka unapewa lesso kwani hujawahi pewa lesson
It seems like a common sense ilienda vacation
Mlishatuvunja miguu alafu mnaexpect standing ovation
You see, kwetu kwa ground vitu si different
Kwa ground si humake the difference

Si mnaweza kill the King
But not the prophecy

ALSO, SING TO Ukiwa Mbali Lyrics – Sol Generation Ft Sauti Sol

Previous articleUkiwa Mbali Lyrics – Sol Generation Ft Sauti Sol
Next articleYumba Lyrics – Darassa Ft Harmonize – New Song