Wajinga Nyinyi Lyrics – Xymo Mshairi
Verse One
God be with me
Ka ningekuwa Emmanuella then ningesema the fish
The big fish that swallowed uncle Ruto
Voice zishaunite hamuwezi nyamazisha King
Ata na masilencer itabidi mumebaki silento
Oooh mcheki vile tunawawhip
Wanatuibia usiku alafu wanalala parliament wajinga hao
Currency change down hata madem light skin
Bado hawana rangi ya thao
Na kwa church washapewa pesa sai mwanasiasa kwao
Is holier than though
Prezzo alifungua mpaka brewery food for thought
Na wasee Turkana wanadedi ju ya ubao
Soldiers hawaskikii wanadedi tu
Na walidai ati haki iwe ngao
Puff puff na umedi na hii
Wanasiasa msitusome na mashambani hakuna ubao
Wajinga Nyinyi
Sharon bado tunakupigania
But oh bado chini kuna ufisadi
Cotton zinapandwa kwa new currency
Na madem hawana padi
Akili zetu walishashuffle ka cardi
RIP baby Pendo
Verse Two – Wajinga Nyinyi Lyrics – Xymo Mshairi
Watoi wanadedi kwa protests so sady
Sonko anadai nilivuta bangi na Waititu
Na bado ye huvuta na hawakushikwa
While the innocent tulishikwa ju ya beer
Sai tuko behind bars
From ferry gari ikaingia kwa maji
Na navy hawawezi save na wakona mpaka na water gas
Wat agwan wat a man atatoa speech ka ako maji
Ati sijui ooh bado anapea mastude ball
Na hawajali zao kipaji
Gold scandals na skari ziko na mercury
Alibonga mbaya juu ya Government he goes kwa kaburi
Waiguru aii dhuruu hatutakunyamazia mamilli uliiba
Na uko kwa ofisi bado ni hatia
Verse Three
Kazi kwa vijana ni bandia
Na hata jicho pevu alifungania stori ya paramandia
Ati wanasiasa vigeugeu akapata pesa akawajoin
Sai akona Jaguar
Please jah cure na kazi bado wanabagua wajinga hao
Tunang’ang’ana kuunda Kenya na maombi
Na pastor Ng’ang’a hadai ukweli
Na still bado sunday tunamskiza wajinga nyinyi
Dumping sites mpaka ndani ya tao
Na wanasiasa wanabonga uchafu
Na music industry tunalipwa queenuts
Tutaserve lini madafu
Siku ya elections wanatupea mia mbili
Ndio tuwavote in siwatambui ju mimi job yangu iko betin
Na ukiwaingilia sana wanakuingiza na doo unaget in
King don’t fail us usiwajoin tuko na wewe mpaka kwa grave in
Cheki race kali ukijifanya kujua kimbia na miguna miguna
Juu watakuchase na mashindano
Tunadoz njaa na glue inaundwa na ngano
Wanatuibia na tutawarudisha after miaka ka tano
Ukabila ni ufala ati kabila yangu ikishinda ni mauwano
Ati mwenye ako mbele yako anataka kuwa mtukufu rais wajinga nyinyi
Verse Four – Wajinga Nyinyi Lyrics – Xymo Mshairi
Watukufu sikuhizi wanatumiwa na wizi
Kura yangu na nadia hampati juu walai si rahisi
Transportation cost high na wanalipua meli
Hatuko sure ka mihadarati ilikuwa hapo ndani
Nimechachisha wameanza kuuliza nimeanza gani
Sijui hao ni macommedian ju wakona matani
Mapastor wanachomea kwa kanisa alafu wanafungania na ubani
Niko high sai after wajinga nyinyi but still Kaka anareign ye ndo rubani
Na kwa kanisa ndio kulishajaa mashetani
Siku ya election uko doorstep sai ata hatupatani
Ni kazi ni kukata maji na si tunadedi ju ya kiu
Pengine wanakufa ju ya floods dam no patel alifungania
Coz judge alicheza kiyou
Wait waiter kata weight achukue noti
Mtu umekunja straight ju chai huwaga watu hupewa in cash
Na si kwa hoteli
Kwa roadi wanapita in highspeed mamaji wakisplash
Choo yangu iko blocked hauwezi flash
Simu imeisha credo siwezi flash
Church ikajoin politics wakawaimbia mpaka mawimbo wajinga nyinyi
Hope brain yenu itakam kucrush
na ndo upate kazi ka dem lazima wakusmush
Na boy toa cash FLASHback
Kenye ata wameandika wasee hawako professional flashback
Wizzards wanahack personal accounts wanashikwa
Wapo wapi wale wa IEBC flashback
Wanatuongezea bills za light na daily si huishi in the dark
Eee KPLC flashback
Wale walikuwa wanatetea haki zetu walipewa kitu kidogo
Na wale wa macho nne sai they can’t even see
Sai words zangu zinakata across ka makasi
Na still kuna wale wajinga wanawajoin mikono joo mpaka mabasi wajinga nyinyi
Bro yangu King also me humuita King Kaka
Salute soldier na hata waangushe King wakae wakijua bado kuna maprince tunagrow
Huskii parliament imegeuka wrestling wanaexchange blows
Nilikuchagua unipiganie si ujipiganie
Zile vitu legal sumu zile illegal dawa
Nishawalower from your power ju walai hauko sawa
Kila kitu you touch ata ile tamu gets sour
Kali akili ni mali ni mistari tycoon another voice from the Ghetto
Wake up and get on xymo mshairi mistari tycoon
ALSO, SING TO: Kanua Njohi Ini Lyrics – Samidoh – December 2019