Vumilia Lyrics – Rayvanny – Download Mp3 Audio
Verse One
Niwe kibatari ama mwanga wa mshumaa
Kwenye kigiza cha jioni
Pika dona ngangariii
Tulishushie na dagaa
Ukishatoka sokoni
Kisha tufunge safari
Itayo chukuwa masaa
Utokwe jasho mgongoni
Na vile nina machachari
Nikikushika kibaa
Utamu wa dicki nondoni
Kuna muda nawaza
Hivi nitakupa nini
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida nadona la chini niambiee
Mmh, wenye mapesa vogi na malamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini
Utuliee
Sambusa kachorii pamia aaee
Tukipata pesa ni sangala
Mchicha mtori pamia aaee
Kama tukikosa tunalala
Chorus
Kwa hiyo mama usijali
Vumilia Iyeeee
Vuuumilia iye iye Vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia, vumilia, Vuuuumilia, vumilia, Vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Verse Two
Najuwa unatamani mama high waist
Make up weaving za dubai na china
Ule pamba nyepesi setaaar
Chain ya dhahabu yenye jinaa
Oooooh, basi mama vumilia
Nakupigania mpenzi subiria
Oooooh, acha kujiinamia
Punguza kulia tatusaidia
Ati mapenzi si moyo
Mapenzi ni pesa
Kama kweli masikini yatatutesa
Uchoyo usinipe pressure naomba unipendee
Kuna muda nawaza
Hivi nitakupa nini
Sina mbele sina nyuma masikini
Chakula shida nadona la chini niambiee
Mmh, wenye mapesa vogi na malamborghini
Wasije fanya ukanipiga chini
Bado nawaza hivi nitakupa nini
Utuliee
Sambusa kachorii pamia aaee
Tukipata pesa ni sangala
Mchicha mtori pamia aaee
Kama tukikosa tunalala
Chorus
Kwa hiyo mama usijali
Vumilia Iyeeee
Vuuumilia iye iye Vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia, vumilia, Vuuuumilia, vumilia, Vumilia
Kesho tutapata mapenzi
Vumilia Lyrics Credit – Rayvanny
ALSO, SING TO – One Lyrics – Rayvanny Ft Karen – New Song 2020