Home NEWS Utawezana Lyrics – Femi One Ft Mejja

Utawezana Lyrics – Femi One Ft Mejja

0
Utawezana Lyrics

Utawezana Lyrics by Femi One and Mejja – Download Mp3 Audio

Verse One

Femi, Ndio ule Mejja
Ndio ule Mejja
Si ulikuwa unadai kuchapiana nae
Ishia ishia ishia

Okonkwo pole nimekuja ghafla, Usijali
Ni vile we hukuwa umenibamba
Aaah Femi One pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya Ligi Soo

Nakupenda manze we hukuwa mhumble, Asanti
Legend kwangu we ni Icon
Aaah story za icon kwanza eka mbali
Femi One mi hukuwa nimekutamani

Eeh Okonkwo umeanza kunichocha, Ah Zii
Nishow ni wapi ulinionaa
Aah Femi One we unibamba
Kwa Instagram nikicheki izo mapaja

Chorus

Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla

Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla

Verse Two

Iko haga yako iko
Naipenda ka mke nyumbani na mwiko
Mejja umeanza kuniflirta, ah ah
Unataka kunikula kama plata

Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza

Hiyo ni siri ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja

Chorus

Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla

Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla

Verse Three

Napenda machali wako na swagga, okay
Nikicheki fashion yako hapana
Femi One hao machali look look
Ni look tu lakini hawanaga kitu

Ah nataka kurombosa hadi chini
Ah nataka kuikota huko chini
Napenda kupakwa nikiwa juu
Ah siteti napenda hiyo view

Fungua Bonnet, Okay
Toa screw, aha
Mbona unanidai
Na usiniambie uongo

Ah, nakudai juu umetoka ghetto
Na we ni manzi hardcore
Manzi mathongo

Chorus

Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla

Femi Uno
Mtoto wa Hadija

Utawezana Lyrics by Femi One and Mejja

ALSO, SING TO – Mahoya Ma Corona Lyrics – Muigai Wa Njoroge