Home NEWS Utawezana Cover Lyrics – Mr. Bloom

Utawezana Cover Lyrics – Mr. Bloom

0
Utawezana Cover Lyrics

Utawezana Cover Lyrics by Mr. Bloom – Download Mp3 Audio

Verse One

Hahahaha najua watu wengi wanajiuliza
Kama sisi masikini tutawezana (Hahaha hiii)
Tumezoea kusukuma life bana
Sasa hii kitu itatushinda kweli?

Ah mrembo pole nimekuja ghafla
Sikua na kredo si unajua mimi ni sufferer
Aaah sipendi fundi wa gari akichelewa
But umefika anyway naelewa

Basi niambie umeniita kwanini?
Nakuonanga ukisukuma mkokoteni
Aki hizo nguvu zako huwa natamani
Asanti najua kusukuma vitu mingi

Walai? Eeeh
Wacha kusema na vile huku chini nimekwama
Ah hapo Nyakundi najituma kama mwizi
Nikose pesa tena nikose ujuzi?
Uliza Judy ama Lucy, nikipanda mi sishuki kwa urahisi

Chorus

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitakukunywa kama dawa ya Corona

Verse Two

Ah naona we unajua kazi
Ningekujua kitambo singemea nyasi
Ah okey basi usiwe na wasi
Nipe nafasi msimu wa kupanda bado uko wazi

Eeh basi unaendaga kilomita ngapi?
Ah sipendi safari za kushtukia
Sipendi nyama yangu kurukia
Napenda usafi kupindukia
Na ninapenda chakula kikinukia

Chorus

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitakukunywa kama dawa ya Corona

Verse Three

Hujaniambia unaenda kilomita ngapi?
Ah skiza vile nitakumake happy
Ah kabla niwashe engine mmmh
Nitafanya vitu mingi uimagine aah

Nagusa bonet natulia aah
Nagusa bumper natulia ah
Naangalia kushoto ukilia aah
Alafu barabara naingia

Ah wacha maneno fanya vitendo
Ebu tuingie ukanionyeshe pendo
Huh haya tuingie nikukule
Na ukumbuke painkiller uchukue

Chorus

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi

Nyakundi nikikupea utawezana? Nitawezana
We masikini utawezana? Nitawezana
We msupa nikikupata
Nitakukunywa kama dawa ya Corona

Utawezana Cover Lyrics by Mr. Bloom

ALSO, SING TO – Vibaya Lyrics – Otile Brown

Previous articleVibaya Lyrics – Otile Brown
Next articleDunda Lyrics – Sailors