Home NEWS Usikate Tamaa Lyrics – Masauti – New Song 2020

Usikate Tamaa Lyrics – Masauti – New Song 2020

0
Usikate Tamaa Lyrics

Usikate Tamaa Lyrics – Masauti – Download Mp3 Audio

Verse One

My boo boo naelewa kinachokuliza
Hizi shida ipo siku zitakwisha
My boo boo naelewa kinachokuliza
Hizi shida ipo siku zitakwisha

Usilie
Ukilia utaniliza
Nivumilie
Yako machozi nitayafuta

Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki

Ukaja ukaniacha solo
Utaniliza mama
Hey beiby

Chorus

Usikate tamaa
Penzi letu bado changa mama
Changamoto lazima
Watatuona kama hatuna maana

Lakini nakusihi
Vumilia vumilia vumilia mama
Vumilia vumilia vumilia mama

Verse Two

Kwenye raha na dhiki
Naomba upendo uwe pale pale
Tena uwe wa haki
Na roho nyuma usirudi kamwe

Mi natambua
Unahitaji nyumba na gari za kifahari
Tena najua
Zako nywele zinahitaji kwenda saluni

Sababu hali yetu duni sana
Kama natuendeshe gari mama
Mwenzio natafuta usiku na mchana
Tuishi nyumba ya kifahari mama

Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki

Ukaja ukaniacha solo
Utaniliza mama
Hey beiby

Chorus

Usikate tamaa
Penzi letu bado changa mama
Changamoto lazima
Watatuona kama hatuna maana

Lakini nakusihi
Vumilia vumilia vumilia mama
Vumilia vumilia vumilia mama

Nivumilie, vumilia
Wangu cherrie

Usije niache solo mama
Hey Usije niache solo(Utaniumiza)
Hey usiniache solo
Utaniliza Masauti yeah..eeh

Usikate Tamaa Lyrics Credit – Masauti

ALSO, SING TOZa Baba Lyrics – David Wonder Ft Mr. Seed – New Song 2020