Home NEWS Unaniweza Lyrics – Jux – New Song January 2020

Unaniweza Lyrics – Jux – New Song January 2020

0
Unaniweza Lyrics

Unaniweza Lyrics – Jux

Unaniweza Lyrics Verse One

Pindi ukicheka we
Mi moyo unanitabasamu
Huwa mwenye kujihisi mororoo
Ila ukilia we Hata kula nakosa hamu
Huwa mwenye kujihisi dororo

Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma

Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling
Nikitaka kupona

Chorus

Unaniweza
Weza Unaniweza weza
Unaniweza
Weza Unaniweza weza

Unaniweza Lyrics Verse Two

Sitamani mwingine
Wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto moto
Labda upite ushetani mwingine

Maneno ya watu nishazoea i don’t care
Kila kukicha chokochoko
Unavyonipa rahaa
Ndo na nenepa mie

Penzi lako na tinga na ringa na bembea
Kinachokufaaa
Usisite niambie
Kwako niko radhi, hata zege nibebe machinga ni nadishee

Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma

Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling
Nikitaka kupona

Chorus

Unaniweza
Weza Unaniweza weza
Unaniweza
Weza Unaniweza weza

Unaniweza weza
Yeiyeeee, I do it for love, For love
Unaniweza weza
For love , For love , I do it for love
Yeeeee Unaniweza weza

Unaniweza Lyrics Credit – Jux

ALSO, SING TOAgain Lyrics – Beka Flavour – New Song 2020