Unanikosha Lyrics by Marioo – Download Mp3 Audio
Mmmm aah
Weka utamu lady
Kabla hakujakucha my lady
Mmm ah nahisi nadedi
Ukisimama kwa ukucha my lady
Ah
Nahisi joto sio joto
Baridi sio baridi
Mm nakuwa katoto
Katoto unavyonifariji
Hizo bingili bingili mpaka chini
Nakupa bingili bafuni kabatini
Baby lako timbuli timbuli la Kijini
Mmm ah ah
We ndo unanikosha
We ndo unanikosha
Ah ah umenikaa ah
We ndo unanikosha
Mm ah umenikaa ah
We ndo unanikosha
Bebe nipe tena kimoko
Kisheti ninywe na chai
Wakose la kusema wanoko
Nipeti niwe nishai
Ni wewe lazizi nahisi nimeenyeka sana
Nataka nikutoe baby kopa kabana
Ni wewe lazizi unajuwaga kueneka bana
Nataka nikutoe bedi
Hizo bingili bingili mpaka chini
Nakupa bingili bafuni kabatini
Baby lako timbuli timbuli la Kijini
Mmm ah ah
We ndo unanikosha
We ndo unanikosha
Ah ah umenikaa ah
We ndo unanikosha
Mm ah umenikaa ah
We ndo unanikosha
Niko nyuma naikota, Dondosha
Mm ah Dondosha
Ukisema naikokota, Dondosha
Mm ah Dondosha
Fanya kama kuisokota, Dondosha
Ah ah Dondosha
Bora kama inatokota, Dondosha
Ah iyee Dondosha
Unanikosha Lyrics by Marioo
ALSO, SING TO – Corona Lyrics – Lava Lava