Home GENERAL Ukiniacha Lyrics – Maarifa Ft Barnaba – New Song 2020

Ukiniacha Lyrics – Maarifa Ft Barnaba – New Song 2020

0
Ukiniacha Lyrics

Ukiniacha Lyrics – Maarifa Ft Barnaba – DOWNLOAD MP3 AUDIO

Naitwa Maarifa, mtoto wa baba
Kibaa, finest

Ukivimba ah-ah nakukamua
Ukiwa mtata nakutatua
Kwa kuwa, najua
Aliyeniumba ndiye atakaye niumbua

Eeh ukiamua kupenda
Au utakacho ukiamua tenda
Eeh ukigundua chenga
Ustarahishe moyo ukiamua kwenda

Ukienda yaani tu ukiniacha
Shiega ka kuvuja kwa pakacha
Ukisahau sikukumbushi ng’o
Na huu ni ukweli wala sikurushi roho

Ukiniacha, ukiniacha
Girl Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha sio gesi haswa
Natumia gesi usinitishie bei ya mkaa

Ayeyeyeye..ayeyyeye beiby Ayeyeyeye,
Mmh kusalitiwa ni sehemu ya maisha
Ayeyeyeye..no no no no my love
Ayeyeyeye, kusalitiwa ni sehemu ya maisha

Ukiamua kwa dhati ukiamua
Nitakuwa bustani ukiwa ua
Ukizingua basi ukizingua
Yaani mi nikianika ukianua

Sasa vipi nidate na
Huku utamu wa pipi ni mate na
Niaje na, nipate sa
Ukiona majengeka jikate ma

Kwa maana hii, nina maana mi
Maana ni, ielewe, ayeyeyeye
Kukupenda haimaanishi
Siwezi kuishi bila wewe

Ukiniacha, ukiniacha
Girl Ukiniacha, ukiniacha girl
Ukiniacha sio gesi haswa
Natumia gesi usinitishie bei ya mkaa

Ayeyeyeye..ayeyyeye beiby Ayeyeyeye,
Mmh kusalitiwa ni sehemu ya maisha
Ayeyeyeye..no no no no my love
Ayeyeyeye, no no no

Yaani shega tu, yaani shega tu
Nikiwa siko shega tu
Niwe bachela shega tu
Hali mradi nina amani

Yaani shega tu, yaani shega tu
Nikiwa siko shega tu
Niwe bachela shega tu
Hali mradi nina amani

This is Barnaba Boy classic
Naitwa Maarifa, Kiba finest

Ukiniacha Lyrics Credit – Maarifa and Barnaba

ALSO, SING TO – Tepete Lyrics – Harmonize Ft Mr Eazi – New Song 2020

Previous articleDj Afro Movies App for Android, Latest Version.
Next articleSuzanna Lyrics – Sauti Sol – New Song Feb 2020