Tuheshimu Ndoa Lyrics – Stivo Simple Boy – Download Mp3 Audio
Chorus
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Verse One
Mbona nani nyinyi mlipendana
Si nyinyi tu mlikuwa mkichumbiana
Mliahidiana mapenzi mengi sana
Na sasa mnadai kuachana
Manze kudivorce sio poa
Inafanya watu waogope poa
Pete muliweka sasa munatowa
Mapenzi mlipanda sasa mnang’owa
Ni poa kurudisha love ndani ya ndoa
Take your time study mtu kabla hujamuoa
Usitupe mbao ju ya mapaja
Zikifade utawachwa ukitapa tapa
Huku kule kama mwana bata
Vipi leo na jana mlikula bata
Kiapo chenyu kwa altar kishapotea
Sasa mwakipata pata
Mwakipata pata
Chorus
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Verse Two
Mola aliweka ndoa ni ya wawili, bwana na bibi
Akaweka mikakati mambo ikawa shwari
Lakini wanadamu wakageuza story
Majina matamu kama
Baby baby sweery sweery hunnie hunnie Sikuhizi haipatikani
Wakati mulioana muliweka promise
Mbele ya mashahidi na kasisi
Mukakiri ati baby I want you baby i need you baby i love you
Lakini wote leo mumekuwa makafiri
Mara sukari mummy mara sukari daddy
Hakuna penzi la dhati
Chorus
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Verse Three
Ndoa sikuhizi imekuwa mchezo
Mpaka wengine wanachomwa na maji moto
Wanabehave tu kama watoto
Kila saa kila siku ni malumbano
Baba na mama nataka maelewano
Mtaa imejaa watoto kibao mawazo kibao
Mpaka kwenye mtandao
Siri za ndoa zilifikiaje wao?
Tafakari mama
Tafakari baba
Ndoa is so real
Sio pata potea
Mpango wa kando potezea
Love is for two to become one
Kwa heshima na uaminifu
Tutamake it through
Chorus
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Mabibi na mabwana muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake muheshimu ndoa aah
Muheshimu ndoa
Tuheshimu Ndoa Lyrics Credit – Stivo Simple Boy
ALSO, SING TO – Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics – Wakadinali Ft Sir Bwoy