Tuende Form Lyrics – Kilundeezy
Tuende Form Lyrics Verse One
Hii design nimekam bazenga ni deadly
Mistari mi huandika buda hunitoka daily
Na sikuhizi huwanga sibishani na dwanzi
Na form zangu hukuwa ni kutulia na wanatii
Loko twende tukashikishe kiveve
Ngoko uko single kam nikuteke
Mboko chora saba basi si katambe
Chilobo this time mahuru tuzikwende
Chorus
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form

Tuende Form Lyrics Verse Two
Vile nimekuja nimekam pandizia
Nacheki umeshukisha pia pazia
Nataka nikusase kama tu bhajia
Nadai kukulipua leo kama tu waria
Napenda ukizungusha idina katika
Naskia unapenda kushikisha ivisha
Pyenga ukicheza ju napenda hizo pako
Style unanionyesha unanipeleka kidato
Imebaki tu niombe ruhusa kwa madhako
Ye si huenda kushika jaba na budako
Andika anua pinduka rombosa
Inama inuka cheza caterpillar
Usharausha Jona alikuwa amedozz
Kitu imebaki ni kumpatia dose
Nimekuja kuharibu leo buda boss
Aaah we tulia buda boss
Chorus
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Tuende Form Lyrics Verse Three
Na vile unacheki nimekam na kishada
Juu ya kishada nimeongezea kijaba
Na hiki kijaba nashikisha na warasta
Mamorio wanapendaga kushika madiaba
Mdogo mdogo tukivuta hizi mafwaka
Na kila weekendi tunapendaga kuwaka
Kuvuta kinyaro buda boss tu kunyanya
Hata bila tiketi tunafika tamasha
Kitu haina last seen si basi peana
Ukinyimwa buda boss basi we tembeza
Ukicheki zimeshika basi we teketa
Bam digi digi kwanza vile kamebeba
Kam titi titi kwanza vile unazikwenda
Bam bigi bigi ka ni momo namteka
Kam cheki cheki nguna vile analegeza
Na ukichezea nguna wako mi ninamkemba
Na ukinuna sistako pia namteka
Hiyo ni majani sema tu niko ketepa
Na mtaani nanukisha harufu ya danger
Na we si mwanaume kama hunuki kishada
Chorus
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Chorus
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Him na rieng’ basi tuende form Zikisha ita ngoko basi tuende form
Credit: Kilundeezy
ALSO, SING TO: Extravaganza January Parody Lyrics – Dogo Charlie – Jan 2020