Home NEWS TikTok Lyrics – Boondocks Gang

TikTok Lyrics – Boondocks Gang

0
TikTok Lyrics

TikTok Lyrics by Boondocks Gang

Intro

Odi wa Murang’a,
Taniua mmmmh
Magix Enga on the Beat

Dem mpoka home, vidole kwa com
Si kila time akitype ana search porn
We can’t condon mmalize ndom
Tutaziwasha hadi mjue hii ni form

Hiphop, hiphop
Si hufanya ngoma zote mpaka hiphop
Na Shiko, Wakiritho
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

TikTok Lyrics Verse One

We came from the bottom
Zile enzi za ma belly bottom
Niishipo ati utuko
No dick alert finya button

Hapo Tiktok ka kidosho
Na kila time ka hutag Mbosso
Niko ritho odi wa kiumbitho
Nafinya hapa akilia hii si dildo

Namwaga tei R.I.P kwa ikus nilichimba
Nina ka flat tyre sina pressure nilijidunga
Na hizi attire ni za Gikomba ni Mtumba
Hapa udhania ka choir venye nguna anawika

Njururi ee Njururi
Ni njururaga Njururi
Na uria wi thutha Njururi
Emenyerere Njururi

Njururi ee Njururi
Turi iko sawa Njururi
Dudu ziko sawa Njururi
Na mi niko sawa

Hiphop, hiphop
Si hufanya ngoma zote mpaka hiphop
Na Shiko, Wakiritho
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

TikTok Lyrics Verse Two

Leo niko jing na amenikatsia
Walai akiinama naweza mpandisia
Utamu iko hapa nitakumalsia
Hakuna dem hapendi doshi saa ya bad year

Hand work si form
Naeza nyora njoti saa hii kwa hii floor
Nduru ndani ya tiplo
Na leo ni lazima alambe lilo

Still talk, cheap hoes
Imagine na gig moja juu ya dildo
Jiggle stingo ya nginyo
Wa kitambi ataezana na minyoo

Dj pull up, chiki chiki blah
Chiki chiki chiki, chiki blah blah
Dj pull up, chiki chiki blah
Chiki chiki chiki, chiki blah blah

Hiphop, hiphop
Si hufanya ngoma zote mpaka hiphop
Na Shiko, Wakiritho
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok
Tiktok beib Tiktok
Si uwache leo tufanye stingo ya Tiktok

Tiktok mavida si ndio real song
Magix Enga on the Beat

TikTok Lyrics Verse Three

Gonna day tomorrow in your behind
Na leo tuko Yemen ni ma Jihad
Leo ni ma-love song ka ya jila
Na mbona nyuki sana hupenda beehive

Leo natokelezea na dinga
Na hii muscle yote ni mabingwa
Ka kameiva ni kachungwa
Siwezi home late nitaundwa aah

Na kwani we ni nyumba umeundwa
Na vile umeiva si umeumbwa
Leo ni uwabebe ukuwe punda aah
Leo stingo ya sniper mi ndio shooter

Odi wa Muranga

Tiktok mavida si ndio real form
Ashawasha ngwai na ni kile kibong

Dem mpoka home, vidole kwa com
Si kila time akitype ana search porn
We can’t condon mmalize ndom
Tutaziwasha hadi mjue hii ni form

Sauti Sol – Set Me Free Lyrics

TikTok Lyrics by Boondocks Gang – Download Mp3 Audio

Leave a Reply