This Kind of Love Lyrics – Otile Brown
Verse One
Uuuh Love
Baby
Nahisi umenifunga kwako roho
Nahisi umenifunga minyororo ya mahaba
Ata kwenye kiza totoro baby
Nachohitaji ni uwepo wako na ni sawa
We ni juliet mi ni romeo
Leo kesho peponi
Sikio nishafunga kwako
Mi ooooh
Yao sisikiii
Mabaya wanasema hunifai
Wanasema yetu na hadhinali
Kwenye hili penzi nina imani
Baby
Mabaya wanasema hunifai
Wanasema yetu na hadhinali
Kwenye hili penzi nina imani
Baby
Chorus
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa hela,,
Of love oof loove
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa sponsor,,
Of love oof loove
Aaaaaaaahhhh
Verse Two
Nipo radhi, nite, nitekete
Mama nite nitekete
Kwa lako ubaa la thamani
Lako ubaa la thamani
Nipo radhi, nite, nitekete
Mama nite nitekete
Kwa lako ubaa la thamani
Lako ubaa la thamani
Mabaya wanasema hunifai
Wanasema yetu na hadhinali
Kwenye hili penzi nina imani
Baby
Mabaya wanasema hunifai
Wanasema yetu na hadhinali
Kwenye hili penzi nina imani
Baby
ALSO, SING TO Dondosa Lyrics – Zzero Sufuri
Chorus
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa hela,,
Of love oof loove
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa sponsor,,
Of love oof loove
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa hela,,
Of love oof loove
This kind of love,,,of love
Hautaipata ata kwa sponsor,,
Of love oof loove
Credit
This Kind of Love Lyrics