Tekenya Lyrics – Lava Lava
It’s Lava Again
S2kizzy baby
Maximizer
Tekenya Lyrics – Lava Lava
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya kamenigusa kunako (eeh kunako)
Kanitekenya kamenipofua macho (eeh macho)
Kanafanya makusudi kama hakataki pipi, (dori dori)
Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki, (torori rori)
Kanitekenya, kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya, moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi
Kanitekenya, shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji
Kanitekenya, akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji
Chorus
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Tekenya Lyrics – Lava Lava
Kanitekenya, kama gari imepigwa starter
Kanitekenya, yaani kama boda boda imewashwa
Kananitekenya, kakitingisa tetemente, tetemente
Kanitekenya, nipatashika mambo yente, yente yente
Ooh lala, nitamaliza mikwanja, siku nikikakamata
Ooh lala, teacher atakuwa kiranja, kuku atampanda bata
Kanitekenya, kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi
Kanitekenya, moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi
Kanitekenya, shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji
Kanitekenya, akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji
Chorus
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Ayolizzer
ALSO, SING TO Magical Lyrics â Navy Kenzo
Credit