Taniua Lyrics – Hitman Khat Ft Shagwah, Exray – DOWNLOAD MP3 AUDIO
Taniua
Hitman ting hitman ting, aah taniua
Badman ting badman ting, Taniua
Hitman ting hitman ting, aah taniua
Na kwa ground vitu different ama kweli taniua, taniua
Cheki ah na ground vitu different hizi vela taniua, taniua
Cheki ah, Hawa makwela nawatoka tu kimetrix
Buda nimechill ka netflix, ka netflix
Kila corner wanadai tu mechi
Walitii Olunga vile mi ni messi
Utaniua hawa makwela joh ni hessy, taniua
Taniua hizi vela na makesi, taniua
Nashukuru mungu vile joh mi ni mtu chelsea, taniua
Juu man u sikuhizi tu ni jezi, taniua
Skylarking nachapanisha ngeus
Benzema ameeka parking
Real shit nigga, no acting
Man a badman original no sampling
Na kwa ground vitu different ama kweli taniua, taniua
Cheki ah na ground vitu different hizi vela taniua, taniua
Na kwa ground vitu different ama kweli taniua, taniua
Cheki ah na ground vitu different hizi vela taniua, taniua
Freaky girl anadai tuget physicall
Fiti so fine body so nice anadai kurepoti
A gwan ati nilikuwa na nicole
Sare urazzi na udaku wa ploti
Mi humcheki tu mtaa she so fine
Jegi chieng’ sianda chieng’
She so ripe with a big bumper
Nikuzi rubb
Big things a gwan Ndio zinadai
Dope shatter siwezi hata, no sir
Compe ni nare kubanja kula kashata
Cheki paja tako matata
Combinare ivisha rangi na haga
Na kwa ground vitu different ama kweli taniua, taniua
Cheki ah na ground vitu different hizi vela taniua, taniua
Na kwa ground vitu different ama kweli taniua, taniua
Cheki ah na ground vitu different hizi vela taniua, taniua
Taniua Lyrics Credit – Hitman Khat Ft Shagwah, Exray
ALSO, SING TO – Aiyana Lyrics – Otile Brown Ft Sanaipei Tande – New Song 2020