Home NEWS Tangaza Lyrics – Zzero Sufuri ft Wakuu Music – New Song 2020

Tangaza Lyrics – Zzero Sufuri ft Wakuu Music – New Song 2020

0
Tangaza Lyrics
Tangaza Lyrics

Tangaza Lyrics – Zzero Sufuri and Wakuu Music

Intro Chorus

Si utatangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Dada tangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Tangaza Lyrics Verse One

Yeah yeah Cheki
One man jo kikolo ama kivela na but
Ten times mugambani vile brain inarun
Am so sick huskii mtaani nimegonjeka tu sai
Ndio nikaona kunguni imekidhinda na zikiwa hizi sides

Tangu nianze kuifanya kazi roundi hii nina bright
Pang’ pang’ nigga nigga muone rebell design
Mi huspeak pole pole nina toka vita
Zzero zzero si ndo jina morio ka uliforgat

Chorus

Si utatangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte yako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte yako vile mi hukanyaga

Dada tangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte yako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte yako vile mi hukanyaga

Tangaza Lyrics Verse Two

The way she swing it for real
Ata u squeezing for me
Na ka show ni ya mabamba
Then lets call it a deal
Nataka dem hajaachilia kama turbo nanii
Mali kuna ngwai ndio si huwaga na hizo nyaru hatufeel

Si ako blessed na haga
mi niko blessed na shadda
Maboy festing kwa jaba
Mi niko chasing mabamba
Basi bandika nikanyage ndio upewe upate tangaze

Namdara dara ni vitu safi apana leta takataka
Shadda shadda daily heppy mi apana enda gwaragwara
Na Mi husafisha vifiti naacha watoi wakigwara
Aah naacha watoi wakigwwara

Chorus

Si utatangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Dada tangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Tangaza Lyrics Verse Three

Nakula ngwai napigia wasoro fegi
Cheki nasyke nakula toto kwa meli
Cheki natight kwa choche na hata haichomeki Cheki naride kabike
Ata siketi Mi huwa nachapa inasusu mpaka inadenki
Nachapanisha na kutu mpaka inableki
Kashikanisha na ukuta ibaki kesi
Si ni nduki nduki ndukulu si ndio kamedi

Chorus

Si utatangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Dada tangaza tangaza
Yuta tangaza tangaza mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga
Yuta tangaza tangaza
Lazima utangaze tangaze mum
Ambia mabeshte zako vile mi hukanyaga

Credit: Zzero Sufuri and Wakuu Music

ALSO, SING TO: Ngwati Lyrics – Magix Enga ft Ex Ray – New Song Jan 2020