Tandika Lyrics – Wakuumusic, Maddox, The only delo
Tandika Lyrics Verse One Chorus
Si ananicheki vipi ju mi naidai
Na cheki kama subaru ni mingi nadai ndai
Lazima joh anashangaa lazima nibuy ndai
So akuna kitu anagwaya ata kama anayadai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandikaÂ
Kitandani mi nakam
Tandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam jam jam
Verse Two
Fly n ama get right
She play with it cz am a bossy
N Imma get it tight
Hide write cz imma get you afraid
You love your life
I wanna be friends
And don’t mess with my money
Nimelelewa mtaani I begÂ
I beg you don’t you threaten ma lifeÂ
Nionyeshe hizo mavituÂ
I had thi best don’t u b wasting my time
Na kama hauwezi inama
Huyo si dem hawezinicy ma mindÂ
Na kama hauwezi lambaÂ
Huyo si guest na beshte yake simdai
Ashaniwaiwai we guza tu nadaiÂ
Mi rafiki na usiku sana tu nadai
Acha ni light ngwwai ndo mi ni pass time
Ju narudi narun Nai bae we nuh run wild
Ashaniwaiwai we guza tu nadaiÂ
Mi rafiki na usiku sana tu nadai
Acha ni light ngwwai ndo mi ni pass time
Ju narudi narun Nai bae na we nuh run wild
Chorus
Si ananicheki vipi ju mi naidai
Na cheki kama subaru ni mingi nadai ndai
Lazima joh anashangaa lazima nibuy ndai
So akuna kitu anagwaya ata kama anayadai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandikaÂ
Kitandani mi nakam
Tandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam jam jam
Verse Three Maddox of Boondocks Gang
Tandika tandika
Nishakwom nishatandika
Katika Only wrongs zimekatika
Party cup zote zimejazwa na mang’ang’oo
Na majango wote wanakemba wamboo
Cheki roll nisharoll kikolombo
Ka za jamaican zimeshika lo lo lo
Na mroro cheki nikushoto
Na kong’oto wanakula mbotoo
Verse Four
Tupa glass ni chupa ku chupa
Na ngoma ikigonga me nacheza na dhudha yoÂ
Ngoma ni kazi tuliza hiyo pupa
Panguza kamasi na miguu zinatupa
Cheza na hiyo beat ndo usikie kadoba
Na waliobonga shit wale wa kujichocha
Lyrics bila haya ndio hii yako moja
Unakaa pang’ang’a ka ikus inagongwa
Mami toa shada na uashe kamoja
Macho ziwe coloured sana tena kwa muda
Tumejaza na mang’ong’o tumejaza wasupa
Piga king’aro line tunawatesa kwa bukla
Unataka ngoma zii ama ngoma kama hii
Ngoma kama hii ngoma zi zi zi
Unataka ngoma zii ama ngoma kama hii
Ngoma kama hii ngoma zi zi zi
Chorus
Si ananicheki vipi ju mi naidai
Na cheki kama subaru ni mingi nadai ndai
Lazima joh anashangaa lazima nibuy ndai
So akuna kitu anagwaya ata kama anayadai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam Basi
ALSO, SING TO Iwake Lyrics – Eko Dydda – New song 2019
Tandika Lyrics Verse Five
Me huwa sikai toto sijam Bado na shash
Me huwa nacrush zile biggy zile pigwa shash
Sitaki poko mmh acha nisearch search
Sina moto niko ngwai kejani na bash
Sina motar kwa mboo lala na lotto
Sina moto na ako kesho na shodho
Hakana mtu bado shika tunipple
Niko kutu aiii na siwezi chachisha
Niko who do i na siwezi lalisha
Me huwa nachapa inasusu mpaka inatisha
Me huwa nasaka dhudha biggy za kutisha
Tisha bado hata kibedhe me huchachisha
Niko who do i na siwezi lalisha
Me huwa nachapa inasusu mpaka inatisha
Me huwa nasaka dhudha biggy za kutisha
Tisha bado hata kibedhe me huchachisha
 Tandika Lyrics ChorusÂ
Si ananicheki vipi ju mi naidai
Na cheki kama subaru ni mingi nadai ndai
Lazima joh anashangaa lazima nibuy ndai
So akuna kitu anagwaya ata kama anayadai
So beiby basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam
Basi tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandikaÂ
Kitandani mi nakam
Tandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam jam
Tandika tandika
Mami tandika tandika
We tu tandika tandika
Kitandani mi nakam kuitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Mi nitaitandika tandika
Ni kama mi nimejam basi
Credit
WAKUUMUSIC
BOONDOCKS GANG MADDOX
THE ONLY DELO