Tag: nyakati
Nyakati Lyrics – Goodluck Gozbert – New Song Jan 2020
Nyakati Lyrics - Goodluck Gozbert
Nyakati Lyrics Verse One
Unaona kama kila unachoguza kimeharibika
Ujasiri wa kusema tena umetoweka
Maana kila unachosema wewe kama unakosea
Umechanganyikiwa ni mungu ajua...