So Hot Lyrics By Alikiba
Kimambo On the Beat
Eeh
Kama bahati sanaka awe
Nimeipata kwako baby, baby
Usinichukulie poa, mama jiteteo, baby
Nimtii mwema nipigwe mawe
Sababu yako baby, baby
Mapinzani yananichora, na mi naona
Nimelipata, nimekwisha, haina utata
Kwa kubisha, uje tukue mapipa
Tule bata, delisha
Haina majoto, haina
Tukule mafoto, Kenya
Nikuvishe pete final
Baby uwe wamoto, wamoto
You are so hot
You’re so hot
You are hot
You are so hot
Dunia we ndiyo pepe nataka
We ni nguni wa mapenzi sina shaka
Kaka shemeji ushapata
Wife material No Haja ya talaka
Tunao, tunao
Acha wapige domo tunao
Si wabaki promo hao
Wataliachana nao
Nimelipata, nimekwisha, haina utata
Kwa kubisha, uje tukue mapipa
Tule bata, delisha
Haina majoto, haina
Tukule mafoto, Kenya
Nikuvishe pete final
Baby uwe wamoto, wamoto
You are so hot
You’re so hot
You are hot
You are so hot
Oh No
Kwenye akili yangu
Baby unitawale , unitawale
Kwa maisha yangu
Wema litawale, itawale iyee
We chaguo langu
Unashinda wale, we unashinda wale
We ndio macho yangu leo naona
You are so hot
You’re so hot
You are hot
You are so hot
So Hot Lyrics By Alikiba – Download So Hot Mp3 Audio