Home NEWS Sina Nyota Lyrics Mbosso

Sina Nyota Lyrics Mbosso

0
Sina Nyota Lyrics

Sina Nyota Lyrics Mbosso.

Mwenyewe anaona sawa
Ila mwambie mimi ananiumiza sana
Ni zaidi ya kupagawa
Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa

Aaaaah aaahh

Na ajue bado nipo
Ila hali yangu hohehahe sina mabadiliko
Machozi mafuriko
Fundi wa jiko langu kaacha mawe
Mpaka akalamba mwiko

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Bado ndo ndo ndo chururu
Nikijaza hakijai kibaba
Na misongo songo msururu
Sita haigai saba

Mimi kitorondo we kunguru
Mbao zangu hazimpi msaada
Makombe nishaoga dawa ka susuru
Huenda akasahau labda

Kitandani mito ipo miwili
Ubavu wewe ubavu mimi
Pakata ndiko imewekwa shubiri
Nalikwepa nalala chini

Nimefuta picha
Tulizopiga chumbani
Ila bado zanisuta suta
Zimebaki kichwani

Silali nashtuka shtuka
Unaniita kizani
Chozi la niwesha shuka
Na sina wa kunifuta nani

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Mwili wote peteka
Sina afadhali mawazo yanitesa
Mavodabodeka ni ka misumari
Naanza dhoofika

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

Toka alivyoniacha
Sina nyota wala mwezi
Mwenzake nimekamatwa
Na homa ya mapenzi

(Wasafi)

Dozi Lyrics Nandy

Sina Nyota Lyrics Mbosso.

Leave a Reply