Home NEWS Simpo Simpo Lyrics Vivian Ft Stivo Simple Boy

Simpo Simpo Lyrics Vivian Ft Stivo Simple Boy

0
Simpo Simpo Lyrics
Simpo Simpo Lyrics

Simpo Simpo Lyrics Vivian Ft Stivo Simple Boy.

Mwanzo nilikuona

Picha yako ilipostiwa kwenye Twitter

Nikatamani

Ah Vivian Ah Vivian

 

Nilijuwa huwezi amini

Nikajiuliza, nitafanya vipi uwe na Mimi?

Iwapo si kawaida

 

Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

 

Na Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Sweee sweetheart

Njoo karibu nami nikupe penzi

Kwako nipige kambi

Mimi nakuenzi bila we sijiwezi

 

Mapenzi si watatu bali ni ya wawili

Ukiwa mbali mpenzi nadondokwa na machozi

Usinipe headachey usinipe heartbreaks

Njoo kwangu ma unipe malavidavi

 

Wewe ni daktari

Njoo unitibu nisipate maumivu

Wangu tabibu

Kwangu ushafika nakuambia karibu

Njoo kwangu ma nikushike taratibu

Bila aibu,, ndio maanake

 

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

 

Na Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Mashaa beating anytime unadai

Nimekukufia na siwezi kufufuka

Nipe vitu mahaba

Venye unafanya ninafeel si kawaida

 

Burn calories burn calories

Niperembe perembe ni ka ni hobby

Si unajua mi hupenda watukutu

Don’t be shy come let’s get naughty

 

Na Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

Uko Simpo

Napenda njaro zako Simpo, ndio maanake

 

Na Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Na Sasa ni kumoto Moto

Mi ndio wako mtoto Toto

Ninachohisi ni rojo rojo

Napenda zako Simpo Simpo

 

Naanza Tena Lyrics Bahati.

 

Simpo Simpo Lyrics Vivian Ft Stivo Simple Boy – Download Mp3 Audio

 

Leave a Reply