We have written the best shilingi lyrics below. You will without doubt fall in love with our shilingi lyrics. Enjoy and remember to come back for more sweet lyrics. We provide the best lyrics.
Shilingi Yang’ara ng’ara
Shilingi Yang’ara ng’ara (Abba)
Naapa kwa Biblia, Nashika na masahafu
Naapa mbingu dunia (aaaah!!)
VERSE ONE – MBOSSO
Funika Kibakuli Funua, Moyo wa Furaha
Sura za mafedhuli, Nyeusi fii zimewafura
Wasome kwa zaburi wacalatia, Hawashindi kudura
Hili penzi tanuli wakivamia, Litawavulula
Honey kuna nazi, Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi……Yetu mapocho pocho
Kisha tuanze kazi, Usiku kwa asubuhi
Mwali tumwage radhi, Mambo ya socco socco
CHORUS – MBOSSO
Penzi sarafu, ina pande mbili
Shilingi yang’ara ng’ara
Mwenge wewe bichwa mie
Shilingi yang’ara ng’ara
Vidole juu, tuwalingishie
Shilingi yang’ara ng’ara
Doli Doli samwela
Shilingi yang’ara ng’ara
VERSE TWO – REEKADO BANKS
When u dey side, no worry dey
Where u dey, nobody dey (mmmmh)
Take over whole space, rock my white shirt
Oh dance asake, anything for u asake
Sometimes the body, might be too lazy
But when you call me, i go fisi
Omo to dun bi waakye, se kin wa je
Sometimes the pocket, may be too low
But when u call me, i go still show
Malo fumble, e go pain me gan ni
Cos i love u
And i want to give u, all my love
If we argue, se lo te mi lo run
Te mi lo run
CHORUS – MBOSSO
Penzi sarafu, ina pande mbili
Shilingi yang’ara ng’ara
Mwenge wewe bichwa mie
Shilingi yang’ara ng’ara
Vidole juu, tuwalingishie….
Shilingi yang’ara ng’ara
Doli Doli samwela
ENDING
Asa baby komesha, jishembe jishembendue
Jishee…… Jishembe jishembendue
Jishaue baby…… jishembe jishembendue
Wajue mashauzi, umezaliwa nayo
Jishembe jishembendue
Deke Deka…… Jishembe jishembendue
Komesha vunyunguruta, Jishembe jishembendue
Wambie sisi gari la petrol, wasije iba mafuta
( Ayo Liiizer)
(Abbaah)
Credit: MBOSSO KHAN
ALSO READ: Hodari lyrics by mbosso