Home NEWS Shenzi Type Lyrics – Madee – Official New Song 2020

Shenzi Type Lyrics – Madee – Official New Song 2020

0
Shenzi Type Lyrics

Shenzi Type Lyrics By Madee

Shenzi Type Lyrics Verse One

Kama we mropokaji
Type ya mfa maji
Si mfikishaji
Mademu hawakuhitaji

Kama we mzamiaji
Bia hununuagi
Sasa leo umekanyaga show
Utaambulia maji

Twende juu twende chini
Shikidee
Iwe huku au kule
Mukideeee

Leta bata leta kuku
Tushibeeee
Tuna madeni
Poa tulipeeee

Mi raisi wao
Raisi wao
Raisi wao
Raisi wao

Kiboko yaoo
Kiboko yao
Kiboko yao
Kiboko yao

Shenzi type

Chorus

Wazamiaji, shenzi type
Wakina dada wadangaji, shenzi type
Waropokaji, shenzi type
Wakina kaka wapigaji, shenzi type

Wazamiaji, shenzi type
Wakina dada wadangaji, shenzi type
Waropokaji, shenzi type
Wakina kaka wapigaji, shenzi type

Shenzi Type Lyrics Verse Two

Oya wasanii
Mie naitwa Madee
Nasikia vya wengine
Sio vyeo vya jamii

Oya wasanii
Mie naitwa Madee
Nasikia vya wengine
Sio vyeo vya jamii

Mnagombana ahaaa
Mnachukiana ahaaa
Kuna wengine mpaka mnarogana ahaaa

Kina baba ahaaa
Kina mama ahaaa
Wote kundi moja jana mlichambana

Na nyinyi watangazaji
Kwa nini wambeya
Ngoma sio kali
Alafu mnateteaa

Na maneno mengi
Kelele za kidedea
Kwa hali hii ndio maana wanapotea

Shenzi type

Chorus

Wanaochukua hela, Shenzi type
Muziki sio usela, Shenzi type
Nitawaletea na mwela, Shenzi type
Mwishowe nitakwenda jela, Shenzi type

Wanaochukua hela, Shenzi type
Muziki sio usela, Shenzi type
Nitawaletea na mwela, Shenzi type
Mwishowe nitakwenda jela

Shenzi Type Lyrics Verse Three

Mahubiri yao wanaturazimisha
Usipotoa zaka eti unaitaka vita
Wakati wao wanajidharirisha
Mpaka kanisani wanavunja amri ya sita

Tumeuonaaa, mkono wako bwana
Inapigwa mpaka bar
Tumeuonaaa, Mkono wako bwana

Shenzi type

Chorus

Biashara kubwa ni dini, Shenzi type
Na wafanyaji ni nyinyi, Shenzi type
Mnadhulumu masikini, Shenzi type
Kwa Mungu mtasema nini, Shenzi type

Biashara kubwa ni dini, Shenzi type
Na wafanyaji ni nyinyi, Shenzi type
Mnadhulumu masikini, Shenzi type
Kwa Mungu mtasema nini, Shenzi type

Pindua Meza Lyrics – Shilole

Shenzi Type Lyrics By Madee – Download Mp3 Audio