Shashula Lyrics – Magix Enga
Verse One
Yoh yoh
Manchiz zimeshika
Kamejipima ndunya sio upepo
Kamebonya mikate tatu na bado hakajashiba
Zima shasha pace ka unakula na hiyo noma
Ama, wacha nirequest kaboda
Hawa mangoko wanakula hadi ngoma
Hakuna nyongi walichoma hadi filter
Mi ni chinese nakulanga hadi paka
Nina chinku anapendaga kula nyoka
Uuuuh, shada zimelipuka ungedhani nyumba kibanda
Nikuchachisha na wangoko sio washamba
Nikumatisha na mashada joh za gaza
Chorus
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha,hehe enga enga
If you wanna dis you a bring it bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo King… na wewe ni kidosho
Shashula Lyrics Verse Two
Umbwa wewe cheza davido kwako
Usituletee hizo mangoma za kitoto
Cheza mangoma za Kenya si makwaito
Kujipendekeza na radio si ya babako
Mi ni Don we ni donda
Napiga look vinoma
Zako Gikombaa, gikombaa
Akikaa mbaya naku mu mu
Bazenga nafanya vitu hawezi fanya
Chorus
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha,hehe enga enga
If you wanna dis you a bring it bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo King… na wewe ni kidosho
Shashula Lyrics Verse Three
Kidosho kinapii kanapeana joto
Na kanataka stick
International dada wacha nikushow vile unamada
Unamada unamada
Gyal dem whine take it down low
Show them gyal what you got
Gyal me love the way you wanna do
Don’t be shy i want take you to my room
Shit manze naimba kila kitu hii mwaka but anyway
Enga enga
If you wanna dis you a bring it bring it
Am the King of Hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ndo King… na wewe ni kidosho
Chorus
Washa kidogo, washa kigode
Washa kishasha,hehe enga enga
If you wanna dis you a bring it bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ni King… na wewe ni kidosho
If you wanna dis you a bring it bring it
Am the King of hit sina time na nyinyi
Mi ndio kamanda wengine mudunge tu mini
Mi ni King… na wewe ni kidosho
Credit: Magix Enga
SING TO: Kawazim Lyrics – Boondocks Gang Ft Sailors, Magix Enga – 2020