Home NEWS Sauti Sol – Nenda Lote Lyrics

Sauti Sol – Nenda Lote Lyrics

0
Nenda Lote Lyrics

Nenda Lote Lyrics By Sauti Sol

Nenda Lote Lyrics Verse One

Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Hunitaki tena

Na mashoga zako waje waniambie
Na mashoga zako waje waniambie
Tumeshavunja ndoa

Siamini Kuna time singeishi bila wewe
Mapenzi ya kukata na shoka eeh eeh
Yashamwagika hayazoleki haya oh
Basi Nenda lote mama, nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya ooh
Nenda lote mama

Nenda Lote Lyrics Verse Two

Ukatuma lawyer wako aje anisomee
Ukatuma lawyer wako aje anisomee
Kuwa watoto ulonizalia eeh
Kuwa watoto ulonizalia eeh
Sitawaona tena

Siamini kuna time tuliapa hadharani
Kanisani kwa Chanda na Pete eeh
Yashamwagika hayazoleki haya ooh
Basi nenda lote mama
Nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya ooh
Nenda lote mama

Nenda Lote Lyrics Verse Three

Ukatuma pastor wako aje anikemee
Ukatuma pastor wako aje anikemee
Na madeni zangu ukazitangaza eeeh
Na madeni zangu ukazitangaza eeeh
Mitandaoni

Shemeji zangu ndugu zako tukionana
Wambie sisi bado rafiki eeh
Wasinipite barabarani mama oh
Umeenda lote mama
Umeenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya ooh
Nenda lote mama

Mpenzi unaenda
Nilikuenzi kinomanoma
Yashamwagika hayazoleki haya oh
Nenda lote mama

Mama mama
Nenda lote mama

Sauti Sol – Rhumba Japani Lyrics

Nenda Lote Lyrics By Sauti Sol – Download Mp3 Audio

Leave a Reply