Sasa Pambana Lyrics – Jasper Murume
Eeeeeh, Producer Kliggah
Hallo, uko wapi bwana kuja sai sai
Mi ndio natesa kuja kuja kuja
December uliambiwa hukusikia
December uliambiwa hukusikia
Sasa ng’ang’ana Sasa Pambana
Sasa ng’ang’ana Sasa Pambana, Na hali yako
Excuse me, Waiter
Mbona chakula haina chumvi bana
Rudisha ulete ingine bwana
I have money, ala
Chakula haungekula haina nyama
Chakula haungekula haina nyama
Sasa managu sasa ni kunde
Sasa managu tena na kunde bila nyanya
Bwana do you know who i am hehee
Unataka nikugonge na pesa wewe
Aiii heshima bwana
Respect tha OGs
Majina ulikuwa umebadilisha
Majina ulikuwa umebadilisha
Chief mkurugenzi ama kiongozi
Chief mkurugenzi ama kiongozi ulichochwa
Hallo, Hallo Producer
Nitafutie elfu mbili hapo nitakurudishia
Si hivo niko chini kidogo
Si unajua january
Sasa hata watoto hawakuheshimu
Sasa hata watoto hawakuheshimu
Jina kubwa umebaki nayo ni Kasee
Jina kubwa umebaki nayo ni Kasee si vizuri
Hallo, Hallo Mkubwa
Churchill fanya ivi
nirushie 20k advance
Tutakata uko mbele
Ulileta wasichana mia december
Ulileta wasichana mia december
Kodi ya thao tano imekushinda
Kodi ya thao tano imekushinda, kabisa wee
Hallo, ni nani?
Sasa elfu tatu ndio mnakaa mkinisumbua
Elfu tatu,, aaaiiii
Tulieni bwana
Tala wamekuweka CRB
Mkopa wamekuweka CRB
Branchi wamekuweka CRB
Mshwari wamekuweka CRB, umekwisha
Lakini mi nasemanga
Afadhali kukula healthy, healthy
Hii mambo ya nyama Kwanza hii nyama ndio inaleta cancer
Kasukuma na kaugali,,eeh alafu unateremsha tu maji
December ikujayo kula na adabu
December ikujayo kula na adabu
January isikupate kama Kavese
January isikupate kama Kavese, wacha utoto
Hallo, Hallo mama, mum
Nakuja,eeh nakuja
nitarudi February
Ona unaomba omba kama Kenya
Wewe unaomba omba kama Kenya
Nyimbo zitatolewa sasa juu yako
Nyimbo zitatolewa sasa juu yako, nimemalizaa
Eeh, Hallo December ulikuwa unapop champagne Sasa unafeel pain kwa buruwein
Hallo, ati ulikuwa unaspin na mayengs Sasa umeishiwa na mawengs
December ulikuwa unasema wekelea kilo Sasa unasikia uzito wa maisha
Sasa Pambana Lyrics Credit: Jasper Murume
SING TO: Banana Lyrics – Magix Enga Ft Arrow Bwoy & Odi wa murang’a