Sakata Lyrics – Bahati Kenya
Intro Chorus
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata Lyrics Verse One
Napiga selfie niposti nimeokoka
Na nasakata hiyo
Nina mapozi kijana nimeokoka
Na nasakata hiyo
Wanaobonga hawajui nilikotoka
Na nasakata hiyo
Ni miujiza nione nimeomoka
Apewe sifa huyo
Iwe ni gengetone raggatone
Yangu ni gospel tone
Gengetone raggatone
Yangu ni gospel zone
Chorus
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata
Sakata Lyrics Verse Two
Iwe rhumba iwe raggae sakata
Nakazana sitachoka sakata
Kukupa sifa sitawacha
Nitacheza mie sakata
Kama baba ametenda sakata
Kwani yeye ni ebenezzer sakata
January to december
Sifa nimpatie Sakata
Chorus
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Iwe ni gengetone raggatone
Yangu ni gospel tone
Gengetone raggatone
Yangu ni gospel zone
Sakata Lyrics Last Verse
Sakata rhumba sakata
Dear lord this is Bahati
Doing a dance song
For your Glory
Sakata, outta EMB
Chorus
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata Rhumba sakata, Sakata
Wacha dumba sakata, Sakata
Daudi alisakata, Sakata
Ufalme wake akapata
Sakata
ALSO, SING TO Obisaana Lyrics – Spice Diana Ft Timmy Tdat