Rege Lyrics by MCA Tricky and Rue Baby – Download Mp3 Audio
Verse One
Tricky tena sana
Rue Baby na Tricky de
Ooh yeah
Napenda sana mboni
Akothee alizaa mtoi
Unanipendeza pendeza
Chaguo langu ni wewe
Nakupenda kipenzi
Ata sitaki mwingine
Unanipendeza pendeza
Chaguo langu ni wewe
Boy kwanza sijakueleza
Sio makosa kupenda
Niamini I got a right for you
And I’m sure tutapendana
Tukipata tutakula
Tukikosa pia sawa
Nitavumilia beiby
As long as niko nawe
Okay na Migori twenzetu
Tumwone mama, Akothee mama,nampenda sana
Wakipiga domo na kusengenya
Usiku watalala
Kipenzi nakupenda sana
Twende kwa mama, Akothee mama
Wakipiga domo na kusengenya
Usiku watalala
Chorus
Maana tunao
Tunapenda rege
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Re gee! ge! ge!
Tunapenda rege
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Re gee! ge! ge!
Verse Two
Watu wako na usoro
Wanapenda tu nikiwa single
Lakini mi ni wako wako
Nitakupa mapenzi ya moto moto….
And u better tell them that you mine
Wangu mtima wakudai
We ni wangu mi ni wako
Wenye vitina na wanyongwe na mihogo
Eeeh baby nakupendaga sana
Nataka unitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Kumanga manga niliwachanga
Nataka unitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Ooh nitunzie nyumba
Basi Migori twenzetu
Tumwone mama, Akothee mama,nampenda sana
Wakipiga domo na kusengenya
Usiku watalala
Kipenzi nakupenda sana
Twende kwa mama, Akothee mama
Wakipiga domo kwa kusengenya
Usiku watalala
Chorus
Maana tunao
Tunapenda rege
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Re gee! ge! ge!
Tunapenda rege
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Tunapenda
Rege
Tunapenda
Re gee! ge! ge!
Basi baby nikatikie
Kati katika kata
Kati kati katika kata
Mama katika kata
Ooh baby katika kata
When you hold on to me, kata
Unanimada mimi kata
We ndo unanitosha baby kata
Ooh kata, kata
Rege Lyrics by MCA Tricky and Rue Baby
ALSO, SING TO – Utawezana Lyrics – Femi One Ft Mejja