Home FEATURE STORIES Raisi wa Iran azisuta nchi za magharibi kwa kuunga mkono mapenzi ya...

Raisi wa Iran azisuta nchi za magharibi kwa kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

0

Rais wa Iran Ibrahim Raisi amelaani mtazamo wa nchi za magharibi kwa sababu ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja wakati wa ziara yake nchini Uganda ambayo imeweka sharia kali dhidi ya LGBTQ.

Akiwa nchini humo kuimarisha uhusiano wa Afrika katika ziara yake ya kwanza katika kipindi cha miaka 11, alizishtumu nchi hizo za magharibi katika mkutano na waandishi wa habari baada ya mazungumzo na raisi wa Uganda Yoweri Mseven.

“Alisema magharibi siku hizi zinzjaribu kukuza wazo la mapenzi ya
jinsia moja na kujaribu kukomesha kizazi kijacho cha wanadamu”
Hii ni baada ya Raisi wa Uganda Yoweri Mseven kutia saini muswada huo na kuwa sheria munamo mei 29 na kuleta hasira miongoni mwa mashirika ya kutetea haki za kibinadamu,umoja wa kimataifa na wanaharakati wa LGBTQ pamoja na mataifa yenye nguvu kutoka magharibi.

 

 

Sharia hio mpya ya Uganda inafanya “mapenzi ya jinsia moja
yakithiri”kuwa kosa la kifo huku adhabu kwa mahusiano ya watu wa jinsia moja yenye maelewano yakiwa adhabu ya hadi kifungo cha maisha jela.

Previous articleAUDIO | Tayc – Love Me | download mp3
Next articleKIONGOZI WA AZIMIO LA UMOJA ASITISHA MUKUTANO WAKE HAPO JANA KWA KUHOFIA USALAMA WAKE NA WAFUASI WAKE