Raha Lyrics by Zuchu – Download Mp3 Audio
Raha Lyrics Verse One
Mmmmm
Lalala mmmm
Lalala Ayolizer
Mmmm
Lalala mmmm
Yaani kwa sauti kasema deka, deka
Na mimi najiachia
Kanipa shuruti la kumteka, teka
Silaha kanigawia
Mbezi Kimara, hunipeleka peleka
Mpaka mwisho hashuki, hashuki
Kiungo imara hunipenyeka penyeka
Kwa ya nguvu mashuti, mashuti
Aaah kaniweka darasani
Kunifundisha vizuri
Mengi hayajulikani
Yataka kuyakariri
Kanichorea ramani
Kopa lenye nyingi siri
Nyekundu nje na ndani
Rangi yake zikifuriji
Chorus
Raha, kupendwa raha
Aah kupendwa raha
Raha, jamani raha
Naona raha
Raha, kupendwa raha
Kupendwa raha
Raha, jamani raha
Raha Lyrics Verse Two
Eti niende msituni
Zaralinge na mate pwi nikamroge
Abadan, abadan
Penzi lichanje mizaituni
Kwaviringe na kuziki linoge
Abadan, abadan
Vineno vya kisirani
Kafumwa na mafulani
Mweupe mara kijani
Inawahusu nini?
Vipimo viso mizani
Kutwa kwenu midomoni
Vimewakaa vichwani
Mtumezee Quinine
Ndege ya asili ya mbuga
Kufugwa hawezekani
Mithili akivuruga
Akaumbiwa kutamani
Ati natafuta mboga
Japo ata mali bandani
Enda tenzi sina woga
Atarejea ngamani
Chorus
Raha, kupendwa raha
Aah kupendwa raha
Raha, jamani raha
Naona raha
Raha, kupendwa raha
Kupendwa raha
Raha, jamani raha
Aaah, aaah, aaah
Wasafi
Raha Lyrics by Zuchu
ALSO, SING TO – Mauzauza Lyrics – Zuchu Ft Khadija Kopa