Home NEWS Quarantine Lyrics – Otile Brown

Quarantine Lyrics – Otile Brown

0
Quarantine Lyrics by Otile Brown

Quarantine Lyrics by Otile Brown – Download Mp3 Audio

Verse One

Mmmm
Hello Ex

Hello Ex
U hali gani
Ni long time
Hatujaonana

Natumai
Upo salama
Naelewa unanichukia
Hata jina langu hutaki sikia

Corona imekithiri
Upweke umetanda
Siku kama hii
Nakukosa sana

Corona imekithiri
Upweke umetanda
Hasa siku kama hii
Nakukosa sana

Natamani ningekuona
Angalau siku moja
Nina kutu la mabusu
Mm mm

Natamani ningekuona
Angalau siku moja
Mwenzio nina kutu
La mabusu

Ukienda quarantine
I’m with you
Ukienda quarantine
I’m with you

Ukienda quarantine
I’m with you
Ukienda quarantine
I’m with you

Ukienda quarantine
I’m with you

Chorus

Quarantine, quarantine
Hata kwa msimu huu angalau
Quarantine, quarantine
Najuwa unanichukuia unanidharau

Quarantine, quarantine
Ooh baby
Quarantine, quarantine
Hata kwa msimu huu tu

Verse Two

Ooh baby pull up why dont you pull up
I got some smoke and some booz
Ni wewe tu ninaye kosa

Ooh baby pull up why dont you pull up
I got some nyama choma and some booz
We can chill together in jacuzzi
Mi na wewe

Naeza cuddle na hii njeve
Nina shisha pia veve
Ama Netflix and Chill
Naweza cheza Guitar nina Skills

Naeza cuddle na hii njeve
Nina shisha pia veve
Ama Netflix and Chill
Naweza cheza Guitar nina Skills

Natamani ningekuona
Angalau siku moja
Nina kutu la mabusu
Mm mm

Natamani ningekuona
Angalau siku moja
Mwenzio nina kutu
La mabusu

Ukienda quarantine
I’m with you
Ukienda quarantine
I’m with you

Ukienda quarantine
I’m with you
Ukienda quarantine
I’m with you

Ukienda quarantine
I’m with you

Chorus

Quarantine, quarantine
Hata kwa msimu huu angalau
Quarantine, quarantine
Najuwa unanichukuia unanidharau

Quarantine, quarantine
Ooh baby
Quarantine, quarantine
Hata kwa msimu huu tu

Last Verse

Ila kwanza swali ni
Una Corona?
Maana kama una Corona
Usije

Wash your hands
Sanitize
Stay safe
I Love you All

Quarantine Lyrics by Otile Brown

ALSO, SING TO – Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Ft Akothee