Pipe Industries Lyrics by Harmonize – Download Mp3 Audio
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Mmm sambamba na dira ya serikali
Ya awamu ya tano
Yenye nia ya kusambaza maji safi salama
Majitaka tunayatupa mbali
Elfu mbili ishirini na tano
Kote tanzania tunywa yaliyo safi salama
Mmm tuwakabidhi hilo jukumu Pipes Industry
Maana wengine kelele usithubutu
Ndio mabingwa wa mabomba magumu Pipes Industry
Kutumia miaka milele hayashiki kutu
Tena hayatengenezwi mbali ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio Ghali ni nafuu kwa Mtanzania
Hiyo yote
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Mabomba hayo hutumika kwenye miradi ya ujenzi
Kilimo umwagiliaji Hadi migodi ya madini
Hupitisha maji taka kadhalika
Kupasuka hayawezi hata kwa wafugaji
Ndio chaguo lao niamini eeh eeh
Mabomba yanayokidhi ubora
Viwango vya Taifa na Kimataifa
ISO na TBAC
Tena hayatengenezwi mbali ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio Ghali ni nafuu kwa Mtanzania
Hiyo yote
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Pipes Industry
mkombozi wa mabomba
Pipes Industry
mambo yote sasa bomba
Asa watanzania wote wameyaona wanayapenda
Hadi Magufuli ameyaona anayapenda
Asa watanzania mabomba wameyaona wanayapenda
Magufuli mabomba ameyaona anayapenda
Pipe Industries Lyrics
ALSO, SING TO – Corona Lyrics ā Rayvanny ā Magufuli