Pindua Meza Lyrics By Shilole
Intro
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza, kibabe
Pindua meza, kibabe
Napindua meza pindua meza
Pindua meza, kibabe
Pindua Meza Lyrics Verse One
Mi ndo mamalao
Sijali chuki zao
Nawapiga mabo
Shishi food ndo makao
Ale tipa na yeso tipa, tipa
Ale tipa tipa, tipa
Ale tii ale tipa, tipa
Ale ale ale tipa
Imeshakula kwao
Na fitina zao
Wape salamu zao
Shishi ndo nembo yao
Iyoo huu ni moto
Natamba natamba, kibabe
Usicheke na mutu we
Nawakalisha, kibabe
Chorus
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza, kibabe
Pindua meza, kibabe
Napindua meza pindua meza
Pindua meza, kibabe

Pindua Meza Lyrics Verse Two
Okay tulaa
Sijali kelele za vyuraa
Nimolaka ni la shishi tulaaa
Uza kazi usiuze suraaa
Watoto wanapima
Wakiwasha nazima
Mi sicheki na kima
Wakikata nalima
Aibooo aiboboo
Shishi babyy
Aibooo aiboboo
Unacheza na Shishi wewe
Noo huu ni moto
Natamba natamba, kibabe
Usicheke na mutu we
Nawakalisha, kibabe
Chorus
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza
Pindua meza, kibabe
Napindua meza, kibabe
Pindua meza, kibabe
Napindua meza pindua meza
Pindua meza, kibabe
Kamwambie Lyrics – Kayumba – New Song 2020
Pindua Meza Lyrics By Shilole – Download Mp3 Audio