Home NEWS Piki Piki Maua Lyrics – Rico Gang, Ketchup, Ssaru – New Song

Piki Piki Maua Lyrics – Rico Gang, Ketchup, Ssaru – New Song

0
Piki Piki Maua Lyrics

Piki Piki Maua Lyrics – Rico Gang, Ketchup, Ssaru – Download Mp3 Audio

Stray music

Si unajua si unajua
Si unajua tu ni nani
Rico gang gang, saru
Ketchup on the chips my girl

Verse One

Piki piki piki maua
Afro dancehall mashup the area, you know
From Nairobi to Nigeria, you know
Gengetone gwan mashup the area you know

Shey, you believe me cos I believe you
Real Dutty love wey mi give you mi Nah leave you
Zungu zoom Gyal show me how you do that
Gyal dem pull up in a G string

Amebeba kilooooooo
Check izo kilooo
Ketchup on the chips
Ama vile ni mzitooooo
Mafisi watatii
Gengetone new style

These girls to beginnn
Shika shika ka meakings
Hao madame wamedunga ma G-string
Gin, tunakunywa na whiskey
Haga juu kichwa inaenda chinii

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua, ah ua ah

Verse Two

Njaa ya fisi na nyege ya form two
Me hudara karau joh roho juu
Ingiza mboko adhani joh nimguu
Triand bad boy Bantu
Sidinyi poko siwezi waste dhambi
Makali ndio hunifundisha kilami Majani
EBU chorea mabati
Magwangi si huwashia warazi

Ssaru napenda rungu kifaru
Nyaru, mi ni ngeus wa manyaru
Uraru, mi mkamba wa masaku
Na nikimpa anaichapanga tu kibantu
Mi ntaka unipe nipange tu kama shoe rack
Maziwa ghetto nina utamu ya mtura
Kitu tasty skuizi nawakunywa
Mi ni mtough though hauwezi nitafuna

Chorus

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua,
Ah ua ah

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua, ah ua ah

Verse Three

Shika paka wacha kunyonga nyani
Ka ni kidogo jo mteja hapatikani
Tetemesha hadi nizirai
Lima lima alafu upande sai
Fika haraka joo usipige punyeto
Usikam mi bado niko stato
Juu huna Trust niko sure niko salama
Shika shika ikus itaganda

Chorus

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua,
Ah ua ah

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua, ah ua ah

Verse Four

Nina mboko bigi kama mapua ya Peter pan
Piga nduru iskike toka nyeri to Japan
Nina stingo mingi utadhani mi ni Jackie Chan
Sema huuuu haaaa turi flat kama pan

Jegi bigi na mahaga zimeganda
After shot mbili akaanza kunidara
Hiyo biker naitoa ka sadaka
Zangu zimeshika nakwambia si kawaida
Anaitwa saida, analeta faida
Mwili iko fine ngozi soft kama fibre
Nina mamishipi kitandani mi ni fighter
Kuna mavijiti magizani leta lighter aaaah

Piki piki maua, ah ua ah
Piki piki maua, ah ua ah
Hiyo haga rarua, ra rua ah
Piki piki maua, ah ua ah

To begin,shika shika ka Makings
Hao madem wamedunga ma g string
Gin,tunakunywa na whiskey
Haga juu kichwa inaenda chini

Piki Piki Maua Lyrics Credit – Rico Gang, Ketchup and Ssaru

ALSO, SING TO – Coronavirus Kolona Lyrics by DannyP Mboka New Song

Leave a Reply