Njuguna Parody Lyrics – Dogo Charlie – Download Mp3 Audio
Verse One
We njuguna, sitaki bibi na
Ulinichocha huyo madam ni ka sponsor
Njuguna, sitaki bibi na
Ni ujinga ni ufala everyday kugombana
Nachonganga waru
Bibi naye anajipodoa manzee
Nikiuliza ananiambia eti
None of my business
Tena siku hizi nakonda
Sili kama zamani
Fanya mpango utume fare
Sitakula fare
Chorus
Njuguna my friend
Nisave, fare nirudi home
Sikukuja kuolewa, narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo, somebody help me
Verse Two
Morio nimekaliwa
Ni kama nimeolewa
Nguo zake ni mimi nafua
Chakula pia napika
Vyombo namuoshea
Duka pia natumwa
Nyumba yake nime mng’arishia
Na bado nanyimwa chakula
Nikiwasha TV
Hapo hapo kutukanwa woii
Siongezewi hata mchele Njugush
None of her business
Hapa hakuna ujanja
Nitatoroka mchana
Fanya mpango utume fare
Sitakula fare
Chorus
Njuguna my friend
Nisave, fare nirudi home
Sikukuja kuolewa, narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo, somebody help me
Verse Three
We nichangie ukipata mia mbili sababu ntazirudisha
We nichangie sikuli sishibi mwenzako ninakufa njaa
Tuma fare nikuje, fare siwezi kula
Mjengo mi nitafanya, kuliko mimi kuolewa
We nichangie ukipata mia mbili sababu ntazirudisha
We nichangie sikuli sishibi mwenzako ninakufa njaa
Tuma fare nikuje, fare siwezi kula
Mjengo mi nitafanya, kuliko mimi kuolewa
Chorus
Njuguna my friend
Nisave, fare nirudi home
Sikukuja kuolewa, narudi kwetu
Nisave fare nirudi home
Nimekaliwa chapo, somebody help me
Njuguna Parody Lyrics Credit – Dogo Charlie
ALSO, SING TO – Banana Lyrics – Willy Paul – New Song 2020