Nishazama Lyrics By Tommy Flavour – Download Mp3 Audio
Oooh mama mama mama
Ooh baby yeah
Umenichanjia damu, labda ni asho
Mbona walokuacha nyuma watajilaumu
Eh wanatujaza su, tutengane so
Na moyo unanisukuma kukuacha ngumu
Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Upendo nijaze kwa kilo
Nitosheke nawe my love
Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Ujihisi wa pekee darling oo
Oooh ooh
Nishazama mazima kwako beaby (Aah aaah)
Nakutwisha upendo na moyo baby (Aaah aaah)
Nishazama mazima kwako baby (Aaah aaah)
Nakutwisha upendo na moyo baby (Aaah aaah)
Diamond Platnumz Ft Wasafi – Quarantine Lyrics
She is rocking my body na usiku silali
She calls me and sugar, ananivuruga
Akanishika kweli kweli, I just wanna marry marry her
Kwake siwezi feli, ndo kwanza ninazidi kweli
Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Upendo nijaze kwa kilo
Nitosheke nawe my love
Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Ujihisi wa pekee darling oo
Oooh ooh
Nishazama mazima kwako baby (Aaah aaah)
Nakutwisha upendo na moyo babyy (Aaah aaah)
Nishazama mazima kwako baby (Aaah aaah)
Nakutwisha upendo na moyo baby (Aaah aaah)
Nishazama Lyrics By Tommy Flavour